NAIBU WAZIRI MGALU AMTAKA MKANDARASI KUMALIZA KAZI KWA WAKATI

Na Ripota wetu – Morogoro Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amefanya ziara mkoani Morogoro na kumwagiza Mkandarasi, Kampuni ya State Grid, anayetekeleza Mradi wa Umeme Vijijini, mkoani humo kumaliza kazi kwa wakati. Mgalu alilazimika kufanya ziara hiyo baada ya kupokea malalamiko ya kusuasua kwa Mradi husika ambapo aliwaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kumsimamia Mkandarasi huyo ili kuhakikisha anakamilisha kazi kwa muda...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Mkandarasi atakiwa kumaliza barabara kwa wakati
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amemtaka mkandarasi Kampuni ya J.V anayejenga barabara ya Makutano-Nyamuswa-Ikoma Gate, sehemu ya Makutano-Natta kilomita 50, kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha mradi huo...
11 years ago
MichuziMAGUFULI AMTAKA MKANDARASI KUFANYA KAZI USIKU NA MCHANA
“Najua bado mnaidai serikali zaidi ya shilingi bilioni tatu lakini hii isiwe sababu ya kushindwa kuendelea na kazi japo mlishaonyesha mfano mzuri wa...
9 years ago
Global Publishers03 Jan
Mkandarasi wa usafirishaji umeme atakiwa kumaliza kazi ifikapo Aprili 2016.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dodoma kabla ya kuanza ziara ya kukagua miundombinu ya usafirishaji umeme, miradi ya umeme vijijini pamoja na shughuli za uchimbaji wa madini mkoani humo. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (wa kwanza kulia) akizungumza na Meneja Mradi Ujenzi wa vituo vya kupoozea umeme katika mradi wa Miundombinu ya...
5 years ago
MichuziREA YATAKA WAKANDARASI NCHINI KUMALIZA KAZI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI KWA WAKATI
9 years ago
Michuzi
Mkandarasi wa miundombinu ya usafirishaji umeme atakiwa kumaliza kazi ifikapo Aprili 2016.
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MGALU ASEMA BOMBA LA GESI KUVINUFAISHA VIWANDA VIPYA 50 PWANI,DAR NA MTWARA
11 years ago
Habarileo01 Aug
Naibu Waziri ambana mkandarasi
NAIBU Waziri wa Uchukuzi na Mbunge wa Jimbo la Buchosa Dk Chales Tizeba amemtaka Mkandarasi Pet Construction Limited kukamilisha haraka ujenzi wa mradi wa maji katika Jimbo la Buchosa.
9 years ago
StarTV23 Dec
Naibu Waziri wa Nishati na Madini amuonya Mkandarasi anayejenga miundombinu ya Umeme Dar, Kilimanjaro, Arusha
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dokta Medard Kalemani amemtaka mkandarasi anayejenga miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme katika mikoa ya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Arusha kukamilisha miradi hiyo ifikapo Februari 20, 2016.
Naibu Waziri ametoa maagizo hayo baada ya kutembelea miradi hiyo iliyopo katika maeneo ya Mbagala, Kurasini na Gongo la Mboto jijini Dar es salaam na kugundua kuwa imeshindwa kukamilika kwa wakati uliokusudiwa.
Hali ya kutokamilika kwa miradi hiyo Imemsukuma...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI NA NAIBU WAKE WAANZA KAZI RASMI KWA KUTEMBELEA MRADI WA UMEME WA KINYEREZI