January: WanaCCM msilalamikie kasi ya Rais Magufuli
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mbunge wa Bumbuli mkoani Tanga, January Makamba amesema wanachama wa chama hicho watakaoguswa na kasi ya utendaji wa Rais John Magufuli, waache kulalamika kwa sababu ana lengo la kuijenga Tanzania mpya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Jul
January,makamba,wanaCCM,halmashauri,Taifa,January,Membe,wagombea,mapinduzi,chama,maoni,Amina,Migiro
9 years ago
Habarileo01 Dec
Kasi ya Magufuli, Majaliwa imeipa uhai CCM – January
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, January Makamba amesema kasi ya utendaji inayooneshwa na Rais John Magufuli na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, imekipa uhai mpya chama chao na kwamba wanaCCM sasa wanatakiwa kutembea kifua mbele.
10 years ago
Dewji Blog27 Jun
January Makamba adhaminiwa na wanaCCM 8,300 mkoani Singida
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, akipokewa na baadhi ya wanaCCM na wananchi wa mkoa wa Singida jana (26/6/2015) akiwa kwenye harakati zake za kusaka wadhamini ili aweze kuteuliwa na CCM kupeperusha bendera ya CCM kwenye nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, akiwashukuru wanaCCM 8,300 wa mkoa wa Singida, waliomdhamini ili aweze kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM kwenye nafasi ya...
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Ndio kusema Rais wa Ghana kaiga kasi ya Rais Magufuli ??!! cheki alivyoanza kubana safari za nje..
Kama ni mfatiliaji wa masuala ya kila kinachoendelea kwenye headlines kubwa kutoka Tanzania zilizofanikiwa kuteka zaidi siku chache zilizopita, ni ishu ya kasi ya Rais Magufuli kwenye utendaji wake huku akisisitiza kubana matumizi ya Serikali. Kwenye kubana matumizi kwa sasa Rais Magufuli aliagiza pia kuzuia safari za viongozi nje ya nchi… Rais wa Ghana pia […]
The post Ndio kusema Rais wa Ghana kaiga kasi ya Rais Magufuli ??!! cheki alivyoanza kubana safari za nje.. appeared first on...
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Matatu kutoka Ikulu kwa Rais Magufuli leo January 4…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wanne Ikulu, Dar es salaam. Katika mzungumzo yao wamezungumzia mambo mbalimbali kuhusu mustakabali wa Serikali ya awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa na kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu Gerson Msigwa alisema yaliyojiri katika Mazungumzo […]
The post Matatu kutoka Ikulu kwa Rais Magufuli leo January 4… appeared first on...
9 years ago
Habarileo26 Dec
Kasi ya Rais Magufuli yawavutia maaskofu
VIONGOZI wa makanisa mbalimbali nchini, wametoa salamu za Sikukuu ya Krismasi jana, wakielezea kufurahishwa na kasi ya utendaji kazi wa Rais John Magufuli. Wamesisitiza waumini wao, kumuombea Rais na kuwataka wananchi kutii mamlaka, kwa kuwa yamewekwa na Mungu. Viongozi hao pia, wamewataka watendaji wa Serikali na wananchi walioshiriki ukwepaji kodi, watubu dhambi zao na kurejesha vyote walivyochukua, ambavyo si halali yao.
9 years ago
Habarileo02 Dec
Japan yavutiwa na kasi ya Rais Magufuli
SERIKALI ya Japan imeridhishwa na kasi ya utendaji wa Rais John Magufuli na kuainisha miradi mipya, itakayofadhiliwa na ya zamani itakayoendelea kufadhiliwa na Serikali hiyo, inayoenda sambamba na kasi ya utekelezaji ya Rais huyo.
9 years ago
Habarileo30 Nov
AFP wasifu kasi ya Rais Magufuli
CHAMA cha siasa cha Alliance for Tanzania Farmers (AFP) kimetoa pongezi kwa Rais John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa kasi ya utendaji kazi ambayo wameionesha na kuleta matumaini kwa wananchi.
9 years ago
Habarileo15 Dec
Vijana wahimizwa kwenda na kasi ya Rais Magufuli
MBUNGE wa Songea Mjini, Leonidas Gama, amewataka vijana kuunga mkono hatua za Rais John Magufuli kuhimiza kasi ya uwajibikaji katika kazi kuleta maendeleo. Alitoa mwito huo jana mjini hapa alipozungumza na waendesha bodaboda ambao ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Ruhuwiko.