Wenyeviti CCM waridhishwa kasi ya Magufuli
Mwenyekiti wa wenyeviti wa mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ramadhan Madabida amemtaka Rais John Magufuli kuendeleza kasi aliyoanza nayo katika utendaji kazi wake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Wenyeviti CCM wapongeza kasi ya Magufuli
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WENYEVITI wa Mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamempongeza kwa dhati Rais Dk. John Magufuli kwa kasi ya utendaji wake.
Kwa mujibu wa wenyeviti hao, kasi ya Rais Magufuli hasa ya kuwachukulia hatua watendaji wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao ni kazi inayokwenda sambamba na utekelezaji wa ilani ya chama hicho.
Pongezi hizo zimetolewa Mwenyekiti wa Wanyeviti wa Mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ramadhani Madabida alipozungumza na waandishi wa habari,...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-XdilKsS-2C4/VmQ_4lGhtDI/AAAAAAAIKeU/cZIi9Dt-Vps/s72-c/IMG_6785.jpg)
WENYEVITI WA CCM MIKOA WAPONGEZA RAIS DK. JOHN MAGUFULI KWA KASI YAKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-XdilKsS-2C4/VmQ_4lGhtDI/AAAAAAAIKeU/cZIi9Dt-Vps/s640/IMG_6785.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4uxGc5E8chU/VmQ_7JWOFxI/AAAAAAAIKeg/yp3rFTEtnHo/s640/IMG_6788_1.jpg)
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWENYEVITI wa Mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamesema kuwa kasi ya Rais Dk. John Joseph Pombe Magufuli kwa kuwachukulia hatua ...
9 years ago
Habarileo07 Dec
Wenyeviti CCM wampa tano Rais Magufuli
WENYEVITI wa Mikoa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini, wamempongeza na kuunga mkono hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Rais John Magufuli za kutumbua majipu. Wamempongeza Dk Magufuli kwa hatua za kubana matumizi ya umma, kuziba mianya ya rushwa, kupiga vita ubadhirifu wa mali ya umma na kurejesha nidhamu na uwajibikaji kwenye taasisi za umma na nchi kwa ujumla.
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-jUto5ePZgwg/VdCWqAv_PCI/AAAAAAABT_Y/p33FbmhdHaU/s72-c/MMGL9663.jpg)
DKT MAGUFULI APEWA MSIMAMO NA WENYEVITI WA CCM MIKOANI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-jUto5ePZgwg/VdCWqAv_PCI/AAAAAAABT_Y/p33FbmhdHaU/s640/MMGL9663.jpg)
9 years ago
Habarileo01 Dec
Kasi ya Magufuli, Majaliwa imeipa uhai CCM – January
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, January Makamba amesema kasi ya utendaji inayooneshwa na Rais John Magufuli na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, imekipa uhai mpya chama chao na kwamba wanaCCM sasa wanatakiwa kutembea kifua mbele.
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/12/109.jpg?width=600)
TAMKO LA WENYEVITI WA CCM-MIKOA LA KUMPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHAMAN OMAR KINANA NA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA
10 years ago
Habarileo22 Sep
NEC CCM waridhishwa na utekelezaji wa DART
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, wameelezea kuridhishwa na hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT).
10 years ago
Tanzania Daima22 Sep
CCM waridhishwa utekelezaji mradi BRT
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, wameridhishwa na hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT). Wajumbe hao walikuwa...
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Nyumba ya Mch.LWAKATARE, Mawaziri wa Magufuli Vinginguti, KINGUNGE na kasi ya MAGUFULI..#Magazetini
HABARILEO Makatibu wakuu na Naibu Makatibu Wakuu walioteuliwa na kuapishwa juzi wamekutana katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya semina elekezi iliyoongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue. Akizungumza kabla ya kuanza kwa mada zilizoandaliwa katika semina hiyo jana, Katibu Mkuu Kiongozi Sefue, alisema semina hiyo ni ya […]
The post Nyumba ya Mch.LWAKATARE, Mawaziri wa Magufuli Vinginguti, KINGUNGE na kasi ya MAGUFULI..#Magazetini appeared first on...