Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenyeviti CCM wampa tano Rais Magufuli

WENYEVITI wa Mikoa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini, wamempongeza na kuunga mkono hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Rais John Magufuli za kutumbua majipu. Wamempongeza Dk Magufuli kwa hatua za kubana matumizi ya umma, kuziba mianya ya rushwa, kupiga vita ubadhirifu wa mali ya umma na kurejesha nidhamu na uwajibikaji kwenye taasisi za umma na nchi kwa ujumla.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WENYEVITI WA CCM MIKOA WAPONGEZA RAIS DK. JOHN MAGUFULI KWA KASI YAKE

 Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ramadhan Madabida akizungumza na waandishi wa habari (hayupo pichani) juu ya kazi inayofanywa na Rais Dk. John Magufuli leo jijini Dar es Salaam. Waandishi wa habari wakimfatilia Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ,Ramadhan Madabida leo jijni Dar es Salaam
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWENYEVITI wa Mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamesema kuwa kasi ya Rais Dk. John Joseph Pombe Magufuli kwa kuwachukulia hatua ...

 

9 years ago

Mwananchi

Wenyeviti CCM waridhishwa kasi ya Magufuli

Mwenyekiti wa wenyeviti wa mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ramadhan Madabida amemtaka Rais John Magufuli kuendeleza kasi aliyoanza nayo katika utendaji kazi wake.

 

9 years ago

Mtanzania

Wenyeviti CCM wapongeza kasi ya Magufuli

magufuli1_55a2dfc75cd8dNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

WENYEVITI wa Mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamempongeza kwa dhati Rais Dk. John Magufuli kwa kasi ya utendaji wake.

Kwa mujibu wa wenyeviti hao,   kasi ya Rais   Magufuli hasa ya kuwachukulia hatua watendaji wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao ni kazi inayokwenda sambamba na utekelezaji wa ilani ya chama hicho.

Pongezi hizo zimetolewa Mwenyekiti wa Wanyeviti wa Mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ramadhani Madabida alipozungumza na waandishi wa habari,...

 

9 years ago

Vijimambo

DKT MAGUFULI APEWA MSIMAMO NA WENYEVITI WA CCM MIKOANI.

Chama cha mapinduzi CCM kupitia wenyeviti wa mikoa wa chama hicho, wameapa kukipigania chama hicho hadi hatua ya mwisho na kuwa hakuna chama mbadala cha kutatua matatizo ya wananchi zaidi ya CCM kwa kuwa vyama vingi vya kisiasa hapa nchini viko kwa ajili ya maslahi ya viongozi huku wananchi wakitakiwa kutafakari na kuwachambua wagombea ili kufahamu azma yao ya kusaka madaraka na kutofautisha wale wenye maslahi binafsi na wale wenye nia ya kuleta maendeleo nchini.Mwenyekiti wa wenyeviti wa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MABALOZI NA WENYEVITI WA WILAYA MFENESINI CCM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM katika Wilaya ya Mfenesini.Balozi wa Shina namba 36 Jimbola Mtoni Abdul-Aziz Salum akisoma risala ya Mabalozi wa Wilaya ya Mfenesini Kichama mbele ya Rais wa Zanzibar na...

 

9 years ago

Habarileo

UVCCM yampa tano Rais Magufuli

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umesema unaunga mkono kasi ya utekelezaji kazi wa serikali ya awamu ya tano, chini ya Rais John Magufuli na kwamba anachofanyika sasa ndio kiu ya Watanzania.

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana Mwambata wa Kijeshi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini Brig. Gen Ibrahim A. Kimario, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Olver Tambo jijini Johanesburg kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China.   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya, wakati alipowasili...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa China, Xi Jinping, wakati wa Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China (China-Africa Forum) uliofanyika leo Dec 4, 2015 jijini Johannesburg. Mhe. Samia amemwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano huo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya, wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani