Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVCCM yampa tano Rais Magufuli

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umesema unaunga mkono kasi ya utekelezaji kazi wa serikali ya awamu ya tano, chini ya Rais John Magufuli na kwamba anachofanyika sasa ndio kiu ya Watanzania.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana Mwambata wa Kijeshi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini Brig. Gen Ibrahim A. Kimario, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Olver Tambo jijini Johanesburg kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China.   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya, wakati alipowasili...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa China, Xi Jinping, wakati wa Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China (China-Africa Forum) uliofanyika leo Dec 4, 2015 jijini Johannesburg. Mhe. Samia amemwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano huo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya, wakati...

 

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Magufuli rais wa awamu ya tano

MGOMBEA urais wa Jamhauri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Joseph Magufuli amechaguliwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Serikali ya Tanzania kwa asilimia 58.46 ya kura zote zilizopigwa kufuatia uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika tarehe 25 mwezi huu.

 

9 years ago

Habarileo

Wenyeviti CCM wampa tano Rais Magufuli

WENYEVITI wa Mikoa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini, wamempongeza na kuunga mkono hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Rais John Magufuli za kutumbua majipu. Wamempongeza Dk Magufuli kwa hatua za kubana matumizi ya umma, kuziba mianya ya rushwa, kupiga vita ubadhirifu wa mali ya umma na kurejesha nidhamu na uwajibikaji kwenye taasisi za umma na nchi kwa ujumla.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Muasisi wa Chadema ampa tano Rais Magufuli

WATANZANIA wa Kada mbalimbali wamempongeza Rais John Magufuli kwa kuokoa mamilioni ya shilingi ambayo yangetumika kwenye maazimisho ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania, Anaandika Faki Sosi…(endelea).Mwenyekiti wa kwanza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia Muasisi wa chama hicho, Edwin Mtei, amesema kuwa uamuzi wa Rais Magufuli wa kufuta sherehe za uhuru utakuwa umeleta tija

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS WA AWAMU YA TANO YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK. JOHN POMBE MAGUFULI

 Dk. John Pombe Magufuli akila kiapo cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman kwenye sherehe fupi zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiinua mkuki na ngao juu mara baada ya kuapishwa kwenye uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO WA TANZANIA LEO JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride maalum la Jeshi la Ulinzi lenye Umbo la Alfa, ikiwa ni ishara ya kuanza kwa Serikali mpya ya awamu ya tano, katika Sherehe za kuapishwa kwake, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam leo. Sherehe hizo zimehudhuliwa na viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani