Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujangili wamtesa JK

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akitarajia kuongoza mkutano wa kujadili jinsi ya kuokoa viumbe vilivyo hatarini kutoweka duniani, serikali yake imetajwa kuongoza kwa mauaji ya tembo. Mkutano huo unatarajiwa kufanyika Alhamisi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vita ya ujangili yaungwa mkono,Kikosi cha kupambana na Ujangili chapata zana za kisasa

Kikosi cha kupambana na ujangili nchini kimepata vitendea kazi kutoka kwa wadau wa sekta ya utalii vitakavyowezesha kukabiliana na matukio ya ujangili yaliyoshika kasi nchini na kuhatarisha kutoweka baadhi ya wanyama.
Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni magari matano aina ya Land Cruser yenye thamani ya Sh 750 milioni,bunduki za kivita 50 aina ya Ak 47 na risasi 10,000 na Magazini 20 ambazo thamani haikutajwa kwa kwasababu za kiusalama.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya...

 

10 years ago

GPL

UGUMBA WAMTESA WEMA

Na Imelda Mtema POLE sana! Tatizo la kutoshika mimba (infertility) au kushindwa kupata mimba (conceive) limekuwa likimtesa staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na limehusishwa na ugumba.
Akizungumza na Amani juu ya ishu hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Wema alisema suala la kutopata mtoto limekuwa likimkosesha amani katika maisha yake ya ukubwani. Staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema...

 

9 years ago

Mtanzania

Mawaziri wamtesa Dk. Magufuli

122*Sura mpya zatajwa kuingia Baraza jipya

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

ZIKIWA zimetimia siku sita tangu Rais Dk. John Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wingu zito limetanda kuhusu uteuzi wa Baraza la Mawaziri.

Wakati kitendawili cha kwanza kinatarajiwa kuteguliwa Novemba 19 mjini Dodoma, pale Bunge la 11 litakaporidhia uteuzi wa waziri mkuu anayesubiriwa kwa hamu, mtihani mwingine unabaki kwa mawaziri.

Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili baada ya...

 

11 years ago

GPL

MZIMU WA RECHO WAMTESA SAGUDA

Stori: Erick Evarist WAKATI Arobaini ikitarajia kufanyika jana, mchumba wa marehemu Sheila Haule ‘Recho’, George Saguda ameeleza kuwa bado aliyekuwa mchumba wake huyo anamtesa kwa kumtokea mara kwa mara. Marehemu Sheila Haule ‘Recho’, akiwa na mpenzi wake George Saguda enzi za uhai wake. Akizungumza na mwanahabari wetu, Saguda alisema marehemu amekuwa akimtokea akiwa usingizini na kumsisitiza kuhusu...

 

10 years ago

GPL

UNENE WAMTESA SELENA GOMEZ

Staa wa muziki wa Pop, Selena Gomez. NEW YORK, MAREKANI WAZUNGU bwana! Staa wa muzikiwa Pop, Selena Gomez ameendelea kuteswa na unene ulioongezeka kwa muda mfupi huku mitandao ya kijamii ikimshambulia. Staa huyo aliyekuwa mpenzi wa staa mwenzake wa muziki, Justin Bieber kupitia ukurasa wake wa Instagram, mashabiki wake wengi wameonekana kukerwa na unene huo jambo linalomnyima usingizi staa huyo. Kabla hajaongezeka… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mosoti, Butoyi wamtesa Phiri

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amepatwa na kigugumizi cha uamuzi wa nani abaki kati ya Mkenya Donald Mosoti na Mrundi Butoyi Hussein kujaza nafasi ya beki wa kati.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mzimu wa Simba wamtesa Ngasa

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrisho Ngasa ameanza mgomo baridi ndani ya klabu hiyo, akishinikiza uongozi kumlipa deni lake la awamu ya pili ya usajili wakati alipotua klabuni hapo akitokea Simba. Usajili...

 

9 years ago

Mwananchi

Ubonge ‘nyanya’ wamtesa Boban

Wakati Simba ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City, imebainika kuwa Wekundu hao wa Msimbazi waliingia uwanjani wakiwaza namna ya kumkaba kiungo wao wa zamani Haruna Moshi ‘Boban’.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wauza Sura Wamtesa Batuli

Staa wa Bongo Movies, Yobnesh Yussuf ‘Batuli’ amekiri kuteswa na suru nzuri za wanaume ambao huwa wanamfuata kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi huku wengine wakimuahidi kumuoa na kuwakubalia ombi lao na kuelekeza mapenzi yake yote kwao.

Azungumza na tanuru la fulamu hivi karibuni  batuli alisema kuwa yeye huwa anapenda mwanaume mpole na mwenye kujiheshimu ili watengeneze maisha yao na penzi linapo kolea na kujiachia kimahaba sura hizo hubadilika na kuwa mwiba kwake hali ambayo humfanya ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani