Hamad: Kura mbili zimetokana na mimi
>Ushindi wa kura mbili za wajumbe wa Zanzibar ambao uliwezesha kupita kwa Katiba inayopendekezwa, umeelezwa kuwa ulitokana na ushawishi mkubwa wa mjumbe Hamad Rashid Mohamed.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies07 Mar
Vijimambo: Ray Weka Milioni Moja, Mimi Naweka Mbili-JB
Kuelekea mpambano wa watani wa jadi katika mchezo wa mpira wa miguu hapa nchini, mchezo kati ya Simba na Yanga ambao utafanyika hapo kesho kwenye uwanja wa taifa jiji Dar, Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ambae ni mshabiki “kindakindaki” wa timu ya Simba amemtaka Staa mwenzake Vicent Kigosi ‘Ray’ ambae ni shabiki wa Yanga, aweke dau shilingi milioni moja kama alivyofanya mchezo uliopita na yeye JB ataweka milioni mbili, kama Yanga ikishinda Ray atachukua mzigo na kama Simba...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Mimi leo nimedata na hizi nyumba mbili tu… kuanzia sebuleni mpaka vyumbani! ( picha )
Kama kwa wengine wanaodata wakiona magari makali au vitu vingine vya dunia, na mtu wako wa nguvu anadata akiona nyumba kali au zilizojengwa kimpangilio….. leo nimekutana nazo hizi nikasema niwaonyeshe na watu wangu tupate ari zaidi ya kuzisaka noti ili tujenge za kwetu nzuri hata kama hatutafikia hizi. HII HAPA CHINI NI NYUMBA NYINGINE Unataka […]
The post Mimi leo nimedata na hizi nyumba mbili tu… kuanzia sebuleni mpaka vyumbani! ( picha ) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Michuzi28 Nov
KINANA ALAKIWA KWA SHANGWE MTWARA VIJIJINI, ATOA HESHIMA KWENYE MNARA WA SHUJAA HAMAD MZEE ALIYETUNGUA NDEGE MBILI ZA KIRENO KATIKA VITA VYA UKOMBOZI WA MSUMBIJI
Kinana akihutubia katika mkutano uliofanyika Katika Kijiji cha Nanguruwe, Wilaya Mtwara...
11 years ago
Habarileo04 Apr
Kura theluthi mbili zakwamisha Kamati
HATUA ya kufanya uamuzi wa kupitisha vifungu vya rasimu ya Katiba mpya katika ngazi ya kamati za Bunge, ilifikiwa jana huku changamoto ya kutopatikana kwa theluthi mbili ya kura kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, ikijitokeza katika kamati nyingi.
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Kura mbili zapitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa
11 years ago
Mwananchi08 Aug
Kamati ya Vuai yakosa theluthi mbili ya kura
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Ningekuwa mimi mgombea, ningewalipia wote nauli na posho ili waweze kwenda kupiga kura
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Watu 100 matatani kujiandikisha mara mbili kupiga kura