Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kura mbili zapitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa

>Licha ya upinzani kutoka makundi kadhaa ya wananchi, Bunge la Katiba jana lilihitimisha kazi yake kwa kupitisha Katiba inayopendekezwa baada ya kupata theluthi mbili za wajumbe wa kila upande wa Muungano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CCM DK. JAKAYA KIKWETE AWAASA WANACCM KUIPIGIA KURA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Jakaya Kikwete akihutubia wanaCCM katika maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea leo Februari 1, 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

RASIMU YA KATIBA MPYA INAYOPENDEKEZWA HII HAPA; CHENGE AIWEKA HADHARANI KUPIGIWA KURA LEO JUMATATU SEPT 29

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Zanzibar, akitafakari wakati rasimu hiyo ikisomwaWasanii wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, waliochangia pakubwa haki za wasanii kutambuliwa kwenye katiba inayopendekezwa mmoja wao ni Martha Mlata amaye naye ni msanii wa nyimbo za injiliWaziri MkuuMstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanavikundi waliofika bungeni kusikiliza rasimu ya katiba...

 

10 years ago

Mwananchi

Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa

Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow” ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.

 

10 years ago

GPL

MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...

 

10 years ago

GPL

BUNGE MAALUM LA KATIBA LAPITISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta hivi punde ametangaza rasmi kupitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya matokeo…

 

10 years ago

Dewji Blog

TWPG wajivunia manufaa waliyopata wanawake katika Rasimu ya mwisho ya Katiba inayopendekezwa

PIX 1

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki akitoa mada wakati wa mkutano wa Umoja wa Wabunge Wanawake  kuhusu maandiko ya kisera na manufaa waliyopata wanawake katika Rasimu ya mwisho ya Katiba inayopendekezwa uliofanyika mjini Dodoma 3 Oktoba, 2014.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

UMOJA wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) wamejipongeza kwa hatua kubwa waliyofikia na manufaa waliyoyapata wanawake katika Rasimu ya mwisho ya Katiba inayopendekezwa.

Kauli hiyo imetolewa jana...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yaanza kugawa nakala milioni mbili Katiba inayopendekezwa

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro amesema kila kata nchini itapata nakala 300 za Katiba Inayopendekezwa ili kuwawezesha wananchi  kuisoma na kushiriki katika Kura ya Maoni iliyopangwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Theluthi mbili Zanzibar rasimu ya Katiba utata

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel SittaKAMA ilivyotarajiwa kwamba theluthi mbili ya kura za ‘Ndiyo’ kwa ajili ya kupitisha Katiba Inayopendekezwa ingeleta shida, tayari kwa idadi ya wajumbe waliokuwa ndani ya ukumbi wa Bunge jana, theluthi mbili ya wajumbe wa Zanzibar imekosekana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani