Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIJANA FIKIRIA MARA MBILI KISHA WEKA TIKI KWA MGOMBEA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mgombea kijana ataka kupimwa kwa uchapakazi

MGOMBEA nafasi ya kuwania Urais kupitia CCM, Mark Salumu Marupu, amewaondoa hofu mashabiki wake kwa madai kuwa kigezo cha umri sio sababu ya kuzuia ndoto zake za kuwania nafasi hiyo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Vijimambo: Ray Weka Milioni Moja, Mimi Naweka Mbili-JB

Kuelekea mpambano  wa watani wa jadi katika mchezo wa mpira wa miguu hapa nchini, mchezo kati ya Simba na Yanga ambao utafanyika hapo kesho kwenye uwanja wa taifa jiji Dar, Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ambae ni mshabiki “kindakindaki” wa timu ya Simba amemtaka Staa mwenzake Vicent Kigosi ‘Ray’  ambae ni shabiki wa Yanga, aweke dau shilingi milioni moja kama alivyofanya mchezo uliopita na yeye JB ataweka milioni mbili, kama Yanga ikishinda Ray atachukua mzigo na kama Simba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Agonga mara mbili, ajiua kwa risasi

MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29), amejipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti na gari lake kupinduka. Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 12 jioni nyumbani kwa...

 

10 years ago

Michuzi

150 KORTINI KWA KUJIANDIKISHA MARA MBILI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA KWA MFUMO MPYA BVR

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema watu 152 watafikishwa mahakamani mkoani Njombe kutokana na kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR).
Aidha, imeeleza kuwa kata 130 zimeongezeka kutokana na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kufanya mabadiliko ya kiutawala katika kata, vijiji,vitongoji na Mitaa hivyo kulazimu NEC kuhairisha kwa wiki moja uandikishaji wa daftari uliokuwa ukianza jana kwa baadhi...

 

10 years ago

Mtanzania

152 mbaroni kwa kujiandikisha mara mbili BVR

NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, limewatia mbaroni watu 152 wa Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa elektroniki (BVR).
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi wa NEC, Dk. Sisti Cariah, alisema watuhumiwa hao walinaswa kupitia vifaa maalumu na watashtakiwa kwa kosa la jinai ili iwe fundisho kwa wengine.
Alisema mfumo mpya wa BVR...

 

10 years ago

Habarileo

150 kortini kwa kujiandikisha mara mbili BVR

 Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC, Dk Sisti CariahTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema watu 152 watafikishwa mahakamani mkoani Njombe kutokana na kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR).

 

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA DAR WAOMBA VODACOM EXPO IFANYIKE MARA MBILI KWA MWAKA.

Wakazi wa jiji la Dar es salaam na wateja wa Vodacom na watanzania kwa ujumla wamepata fursa ya kununua bidhaa mbalimbali kupitia gulio la”Vodacom Expo” lililofanyika kwa siku mbili mfululizo katika viwanja vya Leaders Club.  Sekta ya mawasiliano nchini inakua kwa kasi kila kukicha na kuchangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya nchi tofauti na zamani. Kampuni ya Vodacom kwa kulitambua hilo inafanya jitihada za kuhakikisha wateja wake wote wananufaika na teknologia ya kisasa ya huduma za...

 

11 years ago

CloudsFM

AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI KICHWANI BAADA YA KUGONGA MARA MBILI AKIWA ANAENDESHA GARI

MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29), amejipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti na gari lake kupinduka.
Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 12 jioni nyumbani kwa marehemu eneo la Kimandolu.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Alisema kuwa Lucas alijipiga risasi ya kichwa kwa kutumia bastola aina ya Luger yenye namba B136986 baada ya kuwagonga watu hao.

Kamanda Sabas,...

 

11 years ago

GPL

WAKAZI WA JIJI LA DAR WAOMBA VODACOM EXPO IFANYIKE MARA MBILI KWA MWAKA‏

Kundi la TMK Dancers wakiburudisha wateja waliojitokeza katika gulio la Vodacom Expo lililofanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.Gulio hilo liliandaliwa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa kampuni za mawasiliano liliwapatia wateja wake fursa ya kununua  bidhaa za mawasiliano kwa punguzo la bei kwa siku mbili mfululizo.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani