Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea kijana ataka kupimwa kwa uchapakazi

MGOMBEA nafasi ya kuwania Urais kupitia CCM, Mark Salumu Marupu, amewaondoa hofu mashabiki wake kwa madai kuwa kigezo cha umri sio sababu ya kuzuia ndoto zake za kuwania nafasi hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ngeleja ataka kupimwa kwa mafanikio yake Nishati

William NgelejaMBUNGE wa Sengerema William Ngeleja (CCM), amekitaka chama chake, katika kuteua mgombea rasmi wa urais wa kukiwakilisha kwenye uchaguzi mkuu ujao, wampime kwanza yeye kwa mambo 15 aliyofanya wakati akiwa Waziri wa Nishati na Madini.

 

10 years ago

Vijimambo

KIJANA DAUDI MRINDOKO MGOMBEA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI KILIMANJARO

Moshi,Kilimanjaro,
Wakati tunahesabu miezi kuelekea uchaguzi mkuu 2015,mengi ya kufurahisha yanahibuka kama vile wananchi wa jimbo la Moshi Mjini kumshawishi mgombea waokijana Daudi Babu Mrindoko achukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo 2015,na kumiminia sifa zote zinazofaa kijana huyo wa mjini Moshi achaguliwe.wakazi hao wa jimbo la Moshi Mjini kwa sasa wanadai kuwa kijana wao waliomshawishi achukue fomu ndiye Mgombea kijana mwenye umri mdogo kuliko wengine wote wenye nia ya kugombea...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Akidi kupimwa kwa jicho la Spika ni kejeli

Gazeti hili toleo la jana lilikuwa na habari iliyosema wabunge 33 ndiyo waliopitisha Muswada wa Benki ya Posta Tanzania. Idadi hiyo ni ndogo ikilinganishwa na idadi ya wabunge wote ambao ni 356 na nusu yao ni 178. Mahudhurio duni bungeni yameanza kukithiri katika Bunge hili la 10 na kuzoeleka kama tabia au utamaduni mpya wa wabunge.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete ataka mgombea wa CCM anayekubalika ndani na nje

Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amemtaja mrithi wake baada ya kuwataka wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kumchagua mgombea urais anayekubalika ndani na nje ya chama hicho.

 

9 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Dewji Blog

Dosari yajitokeza kura za maoni ubunge jimbo la Iringa mjini, mgombea ataka mchakato usitishwe

IMG_2160

Frank Kibiki ambaye pia ni Mwanahabari wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo wa mkoani Iringa akionyesha walivyokosea jina lake.

IMG_2158

Frank Kibiki ambaye pia ni Mwanahabari wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo wa mkoani Iringa.

Na Mwandishi wetu, Iringa

WAKATI kura za maoni za kutafuta wagombea ubunge katika majimbo yote nchini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) zikipigwa leo, mmoja kati ya wagombea 13 wanaotafuta nafasi hiyo Jimbo la Iringa Mjini, Frank Kibiki anataka zoezi hilo jimboni humo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani