Agonga mara mbili, ajiua kwa risasi
MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29), amejipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti na gari lake kupinduka. Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 12 jioni nyumbani kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM10 Jun
AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI KICHWANI BAADA YA KUGONGA MARA MBILI AKIWA ANAENDESHA GARI
MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29), amejipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti na gari lake kupinduka.
Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 12 jioni nyumbani kwa marehemu eneo la Kimandolu.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Alisema kuwa Lucas alijipiga risasi ya kichwa kwa kutumia bastola aina ya Luger yenye namba B136986 baada ya kuwagonga watu hao.
Kamanda Sabas,...
11 years ago
Habarileo10 Jun
Mfanyabiashara ajiua kwa risasi
MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Balozi wa Libya ajiua kwa risasi
KAIMU Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat, amejiua kwa kujipiga risasi kifuani akiwa ofisini kwake. Balozi huyo, amejiua juzi saa 7 mchana katika jengo la Ubalozi huo jijini Dar es...
11 years ago
GPLBILIONEA DAR AJIUA KWA RISASI
10 years ago
Mwananchi06 Apr
Polisi ajiua kwa risasi kituoni
11 years ago
Habarileo23 May
Waziri wa Malawi ajiua kwa risasi
NAIBU Waziri anayemaliza muda wake wa Serikali za Mitaa nchini Malawi, Godfrey Kamanya, amejiua kwa kujipiga risasi, baada ya matokeo ya awali ya kura za ubunge, kuonesha ameshindwa kukomboa jimbo alilokuwa akishikilia la Lilongwe, Msozi Kaskazini.
10 years ago
Habarileo03 Feb
Dereva wa OCD ajiua kwa risasi
ASKARI aliyekuwa dereva wa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) Manyoni mkoani hapa, Aloyce Alibinus amejiua kwa kujipiga risasi mdomoni na kutokea kisogoni.
10 years ago
Habarileo27 Oct
Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo eneo la Shams, jijini hapa.
10 years ago
Vijimambo06 Apr
Polisi ajiua kwa kujipiga risasi.
Askari wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, H 3416 PC Charles, amejiua kwa kujipiga risasi.
Baadhi ya wananchi wanaoishi jirani na kituo hicho cha polisi, Paulo Lazaro na Furahisha Felix, walisema tukio hilo lilitokea Aprili 4, mwaka huu, saa 1:00 usiku kituoni hapo.
“Suala hili limetushangaza, kwani sisi tulikuwa nyumbani. Ghafla tulisikia mlio wa bunduki katika kituo cha polisi. Tulipofika, tulimkuta askari huyo akiwa amekufa...