Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makonda sasa kufikishwa mahakamani

makondaNA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, ametangaza kumfikisha mahakamani Mkuu mpya wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, baada ya kushindwa kuomba radhi kutokana na kashfa alizozitoa dhidi yao.
Guninita alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam jana katika mkutano wake na waandishi wa habari,uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo.
Hatua hiyo imekuja baada ya Makonda kuandikiwa barua Februari 12 mwaka...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIA WA CHINA KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Jeshi la polisi Mkoa wa Katavi linatarajia kumfikisha mahakamani raia mmoja wa China Lin Guosong (34) mfanyabiashara wa Majengo Sumbawanga akituhumiwa kukiuka amri halali iliyowekwa na Serikali  ya  kunawa mikono kujikinga na corona.

Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu leo Aprili 11,2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamini Kuzaga amesema mtuhumiwa amekiuka utaratibu huo Aprili 5, 2020 katika kizuizi cha Ntibili Majimoto.

"Mtuhumiwa alikuwa anaendesha gari lenye namba za...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanahabari kufikishwa mahakamani Misri

Waandishi habari 20 wakiwemo 4 wa kigeni wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo mjini Cairo, Misri baada ya kuhusihwa na ugaidi

 

11 years ago

BBCSwahili

Watuhumiwa kufikishwa mahakamani Kenya

Watu wawili waliopatikana na mabomu mjini Mombasa Pwani ya Kenya, wanatarajiwa kufikishwa mahakamani baadaye leo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Karenzi Kareke kufikishwa mahakamani leo

Kiongozi wa ujasusi wa Rwanda anatarajiwa kufika mahakamani hivi leo kuhusu madai ya uhalifu wa kivita yanayomkabili.

 

10 years ago

Vijimambo

NESI WA EBOLA ALIYEWEKEWA KARANTINI KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Nurse Kaci Hickox rides away from the home she is staying in on a rural road in Fort Kent, Maine, to take a bike ride, Thursday, Oct. 30, 2014. Hickox went on an hour-long ride with her boyfriend Ted Wilbur, followed by state police who were monitoring her movements and public interactions.Nesi Kaci Hickox akiendesha baiskeli baada ya kuvunja karatini aliyowekewa wakati akiwa kwenye uchunguzi wa Ebola baada ya kurudi toka Afrika Magharibi alipokua akiwatibu wagonjwa wa Ebola
Mamlaka ya afya mji wa Fort Kent, Maine uliopo mpakani wa Canada wamesema watamfikisha mahakamani Nesi Kaci Hickox baada ya kuvunja karantini siku ya Alhamisi Oktoba 30, 2014 kwa kutoka nje ya nyumba yake na kuendesha baiskeli takribani saa moja.
Nesi Kaci Hickox aliwekewa karantini hiyo baada ya kurudi toka...

 

9 years ago

Mwananchi

Madiwani waliofanya vurugu Tanga kufikishwa Mahakamani

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Zubery Mwombeji amesema madiwani 10 wa CUF huenda wakafikishwa mahakamani kama watabainika kuhusika na vurugu na kuharibu mali za umma kwenye ukumbi wa halmashauri ya jiji hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

AG, Kubenea sasa waitwa mahakamani

Hatimaye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, jana imetoa hati ya wito kwa pande zote, mlalamikaji na mlalamikiwa katika kesi ya mamlaka ya Bunge la Katiba ikiwataka kufika mahakamani.

 

10 years ago

Mwananchi

Chid Benz sasa akiri kosa mahakamani

Mwanamuziki Rashidi Abdallah Makwaro ‘Chid Benz’(29) amekiri mashtaka matatu yanayomabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kukutwa na dawa za kulevya, kifuu cha nazi na kijiko vinavyotumika kuvutia ama kunusa dawa hizo za kulevya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani