Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maabara za ‘Kikwete’ zamhamisha ofisi DC

Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Deodatus Kinawiro ILI kutekeleza agizo la Rais Jakaya Kikwete la kusimamia ujenzi wa maabara katika shule za sekondari kabla ya mwishoni mwa mwaka huu, Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Deodatus Kinawiro amelazimika kuihama kwa muda ofisi yake na kuzunguka katika shule mbalimbali wilayani mwake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

£8m zamhamisha Demba Ba hadi Uturuki

Demba Ba apata uhamisho wa £8m. kutoka Chelsea hadi Besiktas Uturuki, Chelsea nayo yamtwaa Brazil Filipe Luis kutoka Atletico

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete acharuka kuhusu maabara

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu (kushoto) na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba (kulia) baada ya kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara Jimbo la Bumbuli wilayani Lushoto jana. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete ameagiza ifikapo Novemba mwaka huu, shule zote za sekondari nchini, ziwe na maabara kwa ajili ya masomo ya sayansi.

 

10 years ago

Habarileo

17 ‘jela’ kwa uzembe maabara za Kikwete

MKUU wa Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Festo Kiswaga amewasweka rumande watendaji 17 wa vijiji na kupewa barua za onyo kali, huku mmoja akifukuzwa kazi kwa uzembe wa kutosimamia ipasavyo ujenzi wa maabara za shule za sekondari.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete aongeza muda ujenzi wa maabara

Rais Jakaya Kikwete ameongeza miezi sita ya kukamilisha ujenzi wa maabara katika shule za sekondari nchini, baada ya muda wa miaka miwili alioutoa awali kumalizika Novemba 30, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kuna tofauti ya maabara na majengo ya maabara

Desemba 9 mwaka jana ndiyo ulikuwa mwisho wa utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya Kikwete kuhusu ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za Serikali nchi nzima.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua ofisi ya TRA KARATU

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mbumge wa Karatu mchungaji Israeli Nase(Watatu kushoto),Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe(Wapili kushoto),Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo(kushoto) na Mkurugenzi wa Utumishi na utawala wa TRA aliyemwakilisha Kamishna mkuua wa TRA Bwana Abubakari Kunenge(wapili kulia) na kulia ni mwakilishi wa ofisi ya TRA Mkoa Bi.Caroline Ntinku. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunu kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kufungua rasmi ofisi ya Mamlaka ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Kikwete akabidhi ofisi, avutiwa na kasi ya Magufuli

Rais mstaafu Jakaya Kikwete amemwagia sifa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli kuwa utendaji wake wa kazi wa kushtukiza akisema; “umewapa msisimko wananchi” na kumtaka kuendelea nao ili kutatua matatizo yanayoikabili nchi.

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI JENGO LA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI DODOMA

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo, tarehe 15 Oktoba, 2015, amelifungua rasmi jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi mkoani Dodoma.

Akizungumza wakati wa ufunguzi huo, Rais Kikwete ameipongeza Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa kujenga jengo zuri linaloakisi sifa na heshima ya utendaji wa Ofisi hiyo.

Kwa upande wake CAG, aliishukuru Serikali ya Awamu ya Nne kwa kuiwezesha ofisi yake na kuongeza uhuru wa ofisi hiyo kwa kuwawezesha kujenga majengo katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani