GWAJIMA PRESHA TUPU!
![](http://api.ning.com:80/files/Gk-Khs5Ug5NKbiQQDvsYaAx5K0W*DanAH0*6NwxvCCPcwrPf8XtrXxNrQrrrK9yHjycQJ4XwGkEhl4OVzyqos11qPOaynTQI/Gwajima.jpg?width=650)
Mwandishi wetu SIYO siri! Huku jana akiwa ametarajiwa kuripoti tena Kituo Kikuu cha Polisi, Dar (Central) kauli ya serikali kwamba, taasisi za dini ambazo viongozi wake wamekuwa wakitoa matamshi yenye mlengo wa kisiasa zitafutwa mara moja kwani ni kinyume na sheria ya usajili inadaiwa kumpa presha Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Juzi,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Presha tupu,
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
IPTL presha tupu
HATIMAYE ripoti ya uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kuhusu kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh. bilioni 200, kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-RFlyrPTZVGg/VSjNDFU8rZI/AAAAAAAArrw/3ytkrSqJDUE/s72-c/GWAJIMA2%2B%281%29.jpg)
Mawakili wa Gwajima Wajibu Mapigo Waiandikia Barua Polisi Kuhusu Uhalali wa Kumtaka Gwajima Awasilishe Nyaraka 10 za Mali Zake
![](http://4.bp.blogspot.com/-RFlyrPTZVGg/VSjNDFU8rZI/AAAAAAAArrw/3ytkrSqJDUE/s1600/GWAJIMA2%2B%281%29.jpg)
Mawakili wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, wameandika barua kuliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuandika kimaandishi nyaraka wanazozihitaji azipeleke pamoja na vifungu vya sheria vinavyomtaka awasilishe nyaraka hizo.Barua hiyo iliyosainiwa na Wakili Peter Kibatala iliwasilishwa jana mchana katika jeshi hilo, ikiwa ni siku moja baada ya jeshi hilo kumtaka Askofu Gwajima kuwasilisha nyaraka 10, Aprili 16 mwaka huu watakapoendelea na mahojiano.
Gwajima...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRMf2zpmbdH7Q1BjMAh*BXMOObh06-olWaij09ehE*BOSQ*uvmuMqWA9w2-aSdyagL5a2ljG*KRt33*AwZKrgPOl/CCMJB.gif?width=650)
JB PRESHA YAPANDA
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Presha juu CCM
10 years ago
Habarileo08 Jul
‘Hatutachagua kwa presha’
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitachagua mgombea wa kiti cha urais kwa presha za wapambe wa wagombea.
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Lulu : Kuhongwa ni Presha Tu!
UBUYU: Mrembo na staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ ametoboa kuwa fedha za kuhongwa na wanaume ni nzuri lakini zina presha kubwa kwa msichana aliyepewa.
Lulu alisema kuwa wasichana walio wengi wanapenda kupokea fedha na vitu mbali mbali kutoka kwa wanaume lakini changamoto kubwa inayowakuta ni namna ya kulipa fadhila ya walivyopewa
" vitu vya kuhongwa ni vizuri lakini vina presha kubwa katika suala la kulipa fadhila kwani msichana unalazimika kufanya kila aina ya ujuacho ili...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iAT0B9wCR3AKtSN3VhtnChD2assk6qVj6Tz7zV73X9uc0unVz2QHdAZiEJmCo-wFXsQ5ZH-RlnrijdK4iADMj5YZFSkDDknt/ofm.jpg?width=650)
UZEMBE TUPU
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Presha ya uchaguzi yamtesa Dk Kamala