JB PRESHA YAPANDA
![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRMf2zpmbdH7Q1BjMAh*BXMOObh06-olWaij09ehE*BOSQ*uvmuMqWA9w2-aSdyagL5a2ljG*KRt33*AwZKrgPOl/CCMJB.gif?width=650)
ISHU! Wakati Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ikikutana leo mjini Dodoma kupitia na mwishowe kukata majina ya wagombea wanaowania kuteuliwa kwa nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, presha ya muigizaji Jacob Stephen ‘JB’ imepanda, kwa hofu ya kutokea tafrani miongoni mwa wanachama wa chama hicho. Muigizaji maarufu wa Bongo movie , Jacob Stephen ‘JB’ . Akizungumza na gazeti hili...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Aug
Presha ya ubunge CCM yapanda
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza kurudiwa kwa kura za maoni kesho katika majimbo matano nchini, kutokana na dosari mbalimbali zilizojitokeza wakati wa mchakato wa upigaji kura hizo.
9 years ago
Habarileo11 Dec
Presha yapanda Ligi Kuu
LIGI Kuu Tanzania Bara iliyokuwa imesimama karibu mwezi mmoja na nusu inatarajiwa kuendelea tena kesho katika viwanja mbalimbali, huku timu mbalimbali zikitamba kuibuka na ushindi. Timu mbalimbali tayari zimeshasogea vituoni kwa ajili ya michezo yao ya kesho na nyingi zikitamba kwamba zitang’ara ili kujiweka vyema katika msimamo wa ligi.
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Bei ya bidhaa yapanda Zanzibar
9 years ago
Habarileo19 Aug
Homa ya Ngao ya Jamii yapanda
HOMA ya pambano la ngao ya jamii zimezidi kupanda baada ya Yanga na Azam kurejea Dar es Salaam tayari kwa mechi hiyo itakayochezwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo21 Aug
UN yapanda miti mlima Kilimanjaro
MASHIRIKA ya Umoja wa Mataifa yaliyopo nchini yameadhimisha miaka 70 ya kuundwa kwa chombo hicho kwa kupanda miti zaidi ya 2,000 katika miteremko ya mlima Kilimanjaro.
5 years ago
StarTV19 Feb
Bei ya nafaka yapanda Mbeya.
11 years ago
BBCSwahili16 Jan
Misri yapanda orodha ya FIFA
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
I Coast yapanda katika orodha ya FIFA
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Bei ya nyama Dodoma, Dar yapanda