Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bei ya nyama Dodoma, Dar yapanda

Wafanyabiashara wa nyama ya ng’ombe katika Manispaa ya Dodoma, wametangaza kupandisha bei ya nyama ya ng’ombe kutoka Sh6,000 hadi Sh7,000 kwa kilo moja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Bei ya bidhaa yapanda Zanzibar

Hali ya uchumi Zanzibar inazidi kudorora huku bei za bidhaa zikizidi kupanda kutokana na meli zinazosafirisha bidhaa hizo kutoka Tanzania Bara kupunguza safari zake kutokana na hali ya kisiasa iliyopo hapa Zanzibar.

 

5 years ago

StarTV

Bei ya nafaka yapanda Mbeya.

BEI ya mazao aina ya nafaka katika baadhi ya masoko jijini Mbeya imepanda ikilinganishwa na bei za mazao hayo katika kipindi cha miezi miwili iliyopita. Nafaka zilizopanda bei ni pamoja na zile zinazo Ltumiwa na wananchi walio wengi katika maisha ya kila siku yakiwemo Maharagwe, Mahindi na Mchele ambazo kwa mujibu wa wafanyabiashara, bidhaa hizo …

 

10 years ago

Mwananchi

Bei yapanda ghafla katika maduka ya jumla na rejareja

Kumeibuka sintofahamu miongoni mwa wananchi na wafanyabiashara wa maduka ya rejareja baada ya bei ya sukari kupanda ghafla na kufikia Sh80,000 kwa mfuko wa kilo 50.

 

10 years ago

Bongo5

Nyama Choma Festival: Dodoma ni wikiendi hii Royal Village, Dar ni Dec 6, UDSM Grounds

Lile tamasha maarufu zaidi la Nyama Choma sasa linahamia pande za Dodoma. Litafanyika Jumamosi hii, November 8 katika kiota cha Royal Village. Usikubali kupitwa na nyama za uhakika zilizochomwa na wachomaji bora zaidi mjini Dodoma, bila kusahau Heineken baridi, juisi za kila aina na vinjwaji vingine. Tamasha hili litarejea tena jijini Dar es Salaam, December […]

 

9 years ago

Mwananchi

Bei ya nyama yazidi kupaa

Bei ya nyama ya ng’ombe mkoani hapa imepanda kutoka Sh5,000 hadi 6,000, kutokana na mifugo kuadimika kwenye minada.

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WAASWA KUTOPANDISHA BEI YA NYAMA MSIMU HUU WA SIKUKUU

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewataka wafanyabiashara wanaouza nyama nchini kutopandisha bei ya nyama kipindi hiki cha sikukuu ya Eid El Fitr  ili kuhakikisha kila mwananchi anapata kitoweo hicho.
Akizungumza jana Mei 18,2020 jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri Mhe.Ulega amemtaka pia Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Bw. Jumanne Shauri ndani ya siku saba kuhakikisha wanawapeleka wafanyabiashara wanaofanya biashara katika machinjio ya vingunguti kujionea eneo jipya...

 

10 years ago

GPL

NEMC IMEKIFUNGA KIWANDA CHA KUSINDIKA NYAMA YA PUNDA, DODOMA

Baraza la taifa la usimamizi wa mazingira (NEMC) limekifungia kiwanda cha Huwa Cheng Company Limited kilichopo mjini Dodoma na kukitoza faini ya shilingi milioni 200 baada ya kubaini kiwanda hicho kinajihusisha na usindikaji wa nyama ya Punda kinyume na utamaduni wa watanzania huku mazingira yake yakiwa hatarishi kutokana na uchafu unaozalishwa kuzagaa kwenye makazi ya watu. Ni mabishano makali baina ya wamiliki wa kiwanda hiki...

 

5 years ago

CCM Blog

NYANYA ZAPANDA BEI DODOMA

   SABABU ni mvua! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wafanyabiashara wa zao la nyanya kuitaja mvua kama sababu iliyochangia kupanda kwa bei ya zao hilo kwa siku za hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali nchini na Dodoma ikiwemo.

Kwa siku za hivi karibuni zao la nyanya limeshika umaarufu mkubwa midomoni mwa watu kutokana na kupotea kwake sokoni na zinapopatikana basi bei yake imekua juu tofauti na ilivyozoeleka.

Michuzi Blogu imefanya uchunguzi wake katika masoko ya Sabasaba na Majengo ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani