Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bei ya nyama yazidi kupaa

Bei ya nyama ya ng’ombe mkoani hapa imepanda kutoka Sh5,000 hadi 6,000, kutokana na mifugo kuadimika kwenye minada.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bei ya Petroli yazidi kupaa

Dar es Salaam. Bei ya petroli imeendelea kushika kasi ya kupanda tangu ilipopungua kwa kiasi kikubwa mwezi Februari baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) kutangaza ongezeko la Sh111 wakati dizeli ikipanda kwa Sh23.

 

10 years ago

Michuzi

DCB YAZIDI KUPAA KWA KUINUA WAJASIRIAMALI

Mwenyekiti wa bodi wa Banki ya Wananchi wa Dar es Salaam(DCB),Balozi Paul Rupia akizungumza na waandishia wa habari (hawapo pichani)  wakati wa kuwasilisha matokeo ya uendeshaji wa benki hiyo,amesema kipindi cha uendeshaji wa benki hiyo iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.


 Mwenyekiti wa bodi wa Banki ya Wananchi wa Dar es Salaam(DCB),Balozi Paul Rupia akizungumza na waandishia wa habari (hawapo pichani)  wakati wa kuwasilisha matokeo ya uendeshaji wa benki hiyo,amesema kipindi cha...

 

5 years ago

Michuzi

Maduhuli ya Madini Chunya Yazidi kupaa, Yafikia Bilioni 24.1 sawa na lengo la asilimia 128 ya lengo la mwaka


Kutoka kulia waliosimama Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula na Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mhandisi Maryprisca Mahundi wakiangalia namna uchenjuaji wa dhahabu unavyofanyika katika Kiwanda cha Uchenjuaji Dhahabu cha PM kilichopo katika eneo la Makongolosi Wilayani Chunya Mkoani Mbeya. Imeelezwa kuwa kuanzia kipindi cha mwaka wa fedha 2019/2020 kilichoanza Julai, 2019 hadi Januari 31, 2020, ofisi yake imefanikiwa kukusanya jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 24.173 ikiwa ni...

 

9 years ago

Mwananchi

Bei ya nyama Dodoma, Dar yapanda

Wafanyabiashara wa nyama ya ng’ombe katika Manispaa ya Dodoma, wametangaza kupandisha bei ya nyama ya ng’ombe kutoka Sh6,000 hadi Sh7,000 kwa kilo moja.

 

9 years ago

Mtanzania

Bei ya Petroli yazidi kushuka

FELIX NGAMLAGOS.MKURUGENZI EWURA TZNa Maneno Selanyika, Dar es Salaam

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa, ikilinganishwa na bei ya mwaka jana.

Taarifa iliyotolewa na EWURA jana na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu wake, Felix Ngamlagosi, ilieleza kuwa bei hiyo elekezi itaanza kutumika kuanzia leo Januari 6.

Ngamlagosi alitaja sababu mojawapo ya kupungua kwa bei za mafuta ni kushuka kwa  bei za mafuta katika soko la dunia, pamoja na...

 

10 years ago

Habarileo

Mafuta yazidi kushuka bei

Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix NgamlagosiMAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka zaidi kwa bei za bidhaa za mafuta hapa nchini kuanzia leo, kutokana na bei katika soko la dunia kuendelea kuporomoka.

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WAASWA KUTOPANDISHA BEI YA NYAMA MSIMU HUU WA SIKUKUU

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amewataka wafanyabiashara wanaouza nyama nchini kutopandisha bei ya nyama kipindi hiki cha sikukuu ya Eid El Fitr  ili kuhakikisha kila mwananchi anapata kitoweo hicho.
Akizungumza jana Mei 18,2020 jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri Mhe.Ulega amemtaka pia Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Bw. Jumanne Shauri ndani ya siku saba kuhakikisha wanawapeleka wafanyabiashara wanaofanya biashara katika machinjio ya vingunguti kujionea eneo jipya...

 

10 years ago

Vijimambo

Mafuta yazidi kushuka bei nchini

Dar es Salaam. Bei ya mafuta ya petroli, dizeli na ya taa nchini inazidi kushuka kutokana na kuporomoka kwa bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia tangu Juni mwaka jana.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi alisema jana kuwa bei ya rejareja ya petroli kuanzia leo imeshuka kwa Sh74, dizeli kwa Sh62 na mafuta ya taa kwa Sh54.Bei hizo zinashuka wakati kukiwa na mjadala mkali kuwa bei zilizopo sasa hazisadifu hali halisi ya kuporomoka kwa mafuta...

 

5 years ago

Michuzi

KAIMU MSAJILI BODI YA NYAMA TANZANIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA CHA TANCHOICE

Na Mwandishi Wet u,Michuzi TV

KAIMU Msajili Bodi Ya Nyama Tanzania Iman Sichalwe amefanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha nyama cha Tanchoice Soga kibaha mkoani Pwani.

Kiwanda hicho ni kikubwa Afrika Mashariki na Kati kwenye Sekta ya mifugo na kutajwa kuwa mkombozi mkubwa kwa wadau wa sekta ya nyama Nchini Ambapo kitakuwa na uwezo wa kuchinja ng'ombe 1000 na mbuzi 4500 kwa siku.

Akiwa kiwandani haoo baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani