Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bei yapanda ghafla katika maduka ya jumla na rejareja

Kumeibuka sintofahamu miongoni mwa wananchi na wafanyabiashara wa maduka ya rejareja baada ya bei ya sukari kupanda ghafla na kufikia Sh80,000 kwa mfuko wa kilo 50.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

MSD sasa yaanzisha maduka ya rejareja

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Cosmas Mwaifwani BOHARI Kuu ya Dawa nchini (MSD) imesema ifikapo Januari 30 mwakani itakuwa imetekeleza mabadiliko makubwa yenye lengo la kuhakikisha dhima ya ‘Kuwezesha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba vyenye ubora kwa bei nafuu kwa Watanzania wote’ inatekelezwa kwa vitendo.

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM YAANZISHA HUDUMA MAALUM KWA MAWAKALA WA JUMLA NA REJAREJA

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa (katikati) akiongea na waandishi wa habari wakati akizindua huduma ya LIPA KWA M PESA inayowawezesha wasambazaji wa huduma kupokea malipo ya mauzo kwa njia ya M-pesa kutoka kwa wauzaji wajumla. Kampuni ya Chai Bora na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia wasamabzaji wake kampuni ya Mahawi zimkuwa miongoni mwa wasambazaji wa awali kutumia huduma hiyo. Wengine pichani ni Mwakilishi wa Mahawi Enterprises Joseph Mahawi na...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAANZISHA HUDUMA MAALUM KWA MAWAKALA WA JUMLA NA REJAREJA‏

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akizindua huduma ya LIPA KWA M PESA inayowawezesha wasambazaji wa huduma kupokea malipo ya mauzo kwa njia ya M-pesa kutoka kwa wauzaji wajumla. Kampuni ya Chai Bora na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia wasamabzaji wake kampuni ya Mahawi zimkuwa miongoni mwa wasambazaji wa awali kutumia...

 

9 years ago

Mwananchi

Bei ya bidhaa yapanda Zanzibar

Hali ya uchumi Zanzibar inazidi kudorora huku bei za bidhaa zikizidi kupanda kutokana na meli zinazosafirisha bidhaa hizo kutoka Tanzania Bara kupunguza safari zake kutokana na hali ya kisiasa iliyopo hapa Zanzibar.

 

5 years ago

StarTV

Bei ya nafaka yapanda Mbeya.

BEI ya mazao aina ya nafaka katika baadhi ya masoko jijini Mbeya imepanda ikilinganishwa na bei za mazao hayo katika kipindi cha miezi miwili iliyopita. Nafaka zilizopanda bei ni pamoja na zile zinazo Ltumiwa na wananchi walio wengi katika maisha ya kila siku yakiwemo Maharagwe, Mahindi na Mchele ambazo kwa mujibu wa wafanyabiashara, bidhaa hizo …

 

9 years ago

Mwananchi

Bei ya nyama Dodoma, Dar yapanda

Wafanyabiashara wa nyama ya ng’ombe katika Manispaa ya Dodoma, wametangaza kupandisha bei ya nyama ya ng’ombe kutoka Sh6,000 hadi Sh7,000 kwa kilo moja.

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA PUNGUZO LA BEI HADI 80% KWENYE MADUKA MAKUBWA YA NGUO DAR.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza Punguzo kubwa la Bei ya Nguo la hadi 80% kwenye Maduka Makubwa ya Nguo yaliyopo Jijini humo ili kuhakikisha Wananchi wanapendeza na kuwa nadhifu Jumapili ya May 24 kwenye Kilele cha Siku Tatu za Shukrani Kwa Mungu zilizotangazwa na Rais Dkt. John Magufuli.

RC Makonda amesema Miongoni mwa Maduka Makubwa yaliyoamua kutoa punguzo la bei ni pamoja na Mr. Price na Red Tag ya Mlimani city, Vunja Bei, Maduka yaliyopo City Mall pamoja na...

 

10 years ago

BBCSwahili

I Coast yapanda katika orodha ya FIFA

Ivory Coast imepanda katika orodha ya shirikisho la soka duniani FIFA baada ya kushinda kombe la mataifa ya Afrika mwaka huu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenya yapanda nafasi 27 katika orodha ya FIFA

Licha ya kuondolewa katika kinyang'anyiro cha kufuzu kwa kombe la dunia Harambee Stars ya Kenya imepanda nafasi 27 inaorodheshwa katika nafasi ya 25 barani Afrika na 98 duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani