MSD sasa yaanzisha maduka ya rejareja
BOHARI Kuu ya Dawa nchini (MSD) imesema ifikapo Januari 30 mwakani itakuwa imetekeleza mabadiliko makubwa yenye lengo la kuhakikisha dhima ya ‘Kuwezesha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba vyenye ubora kwa bei nafuu kwa Watanzania wote’ inatekelezwa kwa vitendo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Dec
MSD sasa kufungua maduka ya dawa mitaani
Bohari ya Dawa nchini (MSD) inatarajia kuanzisha maduka ya dawa katika maeneo yote ya nchi kwa ajili ya kurahisisha usambazaji wa dawa na vifaa tiba.
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Bei yapanda ghafla katika maduka ya jumla na rejareja
Kumeibuka sintofahamu miongoni mwa wananchi na wafanyabiashara wa maduka ya rejareja baada ya bei ya sukari kupanda ghafla na kufikia Sh80,000 kwa mfuko wa kilo 50.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-t7VMUfCKj2Q/VBgjjVxRDqI/AAAAAAAGj8U/0Nqw6GUPS_Q/s72-c/unnamed%2B(50).jpg)
VODACOM YAANZISHA HUDUMA MAALUM KWA MAWAKALA WA JUMLA NA REJAREJA
![](http://3.bp.blogspot.com/-t7VMUfCKj2Q/VBgjjVxRDqI/AAAAAAAGj8U/0Nqw6GUPS_Q/s1600/unnamed%2B(50).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gLRz0qCeA0VS-N8LT0rq1gJppoC0n-FRm1tbg4oXQrgfJzxWcyp72nWxwLk3z850FgQuJ1STFeBrwVYLs3M7eKnly1kGKE*9/001.CHAI.jpg?width=650)
VODACOM YAANZISHA HUDUMA MAALUM KWA MAWAKALA WA JUMLA NA REJAREJA
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akizindua huduma ya LIPA KWA M PESA inayowawezesha wasambazaji wa huduma kupokea malipo ya mauzo kwa njia ya M-pesa kutoka kwa wauzaji wajumla. Kampuni ya Chai Bora na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia wasamabzaji wake kampuni ya Mahawi zimkuwa miongoni mwa wasambazaji wa awali kutumia...
10 years ago
Mwananchi24 Dec
MSD kufungua maduka ya dawa mitaani
>Bohari ya Dawa nchini (MSD) imepanga kuanzisha maduka ya dawa katika maeneo yote ya nchi kwa ajili ya kurahisisha usambazaji wa dawa na vifaa tiba.
9 years ago
Mwananchi04 Dec
MSD isimamie kwa dhati maduka ya dawa
Punde baada ya Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli kuingia madarakani, aliagiza Bohari ya Dawa (MSD)Â kufungua maduka ya dawa katika hospitali za Serikali za kanda na za rufaa.
10 years ago
MichuziKAIMU MKURUGENZI BOHARI YA DAWA (MSD), AZUNGUMZIA UFUNGUAJI MADUKA YAO KARIBU NA WANANCHI
11 years ago
MichuziPOLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.
![](http://3.bp.blogspot.com/-EwjUyaEScrY/Ux2DlBq6VaI/AAAAAAAA0Rg/qUnegDdlwak/s1600/01.MSD5.jpg)
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Maduka Kariakoo sasa biashara kama kawaida
Hatimaye wafanyabiashara wa Kariakoo wamefungua maduka yao baada ya kufikiwa makubaliano kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) ya kuunda kamati ya pamoja itakayoshughulikia matatizo yao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania