POLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.
"Haya Mheshimiwa Mbunge sasa nakata utepe kuzindua rasmi usambazaji dawa za serikali ulio chini ya MSD" ni Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Kebwe akishuhudiwa na Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Tibaijuka (Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini) .
"Haya tupige makofi kwa pamoja kuashiria kukubali uzinduzi huu" Naibu Waziri Dk. Kebwe (Kulia), Waziri Prof. Tibaijuka (Katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu MSD Bw. Mwaifwani.
Afisa Habari wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV27 Aug
Singida yaanza kusaka maduka yanayouza kiholela dawa za kutolea mimba
Idara ya afya katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida imeanza kufanya msako mkali kwenye maduka yanayouza kiholela dawa za kutoa mimba pamoja na zile za kuongeza nguvu za kiume.
Uamuzi huo umefikiwa baada ya kubainika kuwa kati ya vifo 10 vya uzazi vilivyotokea katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Agosti mwaka huu vingi vimesababishwa na wahusika kujaribu kutoa mimba kwa kutumia dawa walizonunua kiholela madukani suala ambalo ni kinyume cha sheria.
Ni katika kipindi ambacho Tanzania...
9 years ago
MichuziMSD kuweka nembo za Serikali kwenye dawa zake, wizi wa dawa kudhibitiwa
Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD),Cosmas Mwaifwani aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-x6H45Rhtzas/VlWaOKucaXI/AAAAAAAIIVs/lDbNIeFNdLA/s72-c/msd%252Bpx.jpg)
MSD kuweka nembo ya serikali kwenye dawa zake
![](http://1.bp.blogspot.com/-x6H45Rhtzas/VlWaOKucaXI/AAAAAAAIIVs/lDbNIeFNdLA/s640/msd%252Bpx.jpg)
Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi Mkuu wa MSD Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho maalum ili endapo zikikutwa zipo...
10 years ago
Mwananchi24 Dec
MSD kufungua maduka ya dawa mitaani
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
SERIKALI: Maduka ya dawa yaliyopo pembezoni na Hospitali kuondolewa nchini!
Na Rabbi Hume
[DAR ES SALAAM] Serikali nchini, kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ipo mbioni kufanya mazungumzo na wamiliki wa maduka ya madawa yaliyopo pembezoni na hospitali za serikali ili kuona uwezekano wa kuhamisha maduka hayo kutoka maeneo ya hospitali ilikuondoa utata uliopo sasa wa baadhi ya watendaji na wafanyakazi wa hospitali hizo kutumia mwaya huo wa kuhamisha madawa na kuweka kwenye maduka...
10 years ago
Mwananchi23 Dec
MSD sasa kufungua maduka ya dawa mitaani
9 years ago
Mwananchi04 Dec
MSD isimamie kwa dhati maduka ya dawa
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-oajSCfq5SuA/VJl4KswUo3I/AAAAAAABAW0/HtQO0itP3Zw/s72-c/DSC_0819.jpg)
MSD YAKUBALI AGIZO LA SERIKALI KUWEKA ALAMA KATIKA DAWA NA VIFAA TIBA
KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD),Cosmas Mwaifwani amesema bohari ya dawa imepokea agizo la serikali kuweka alama katika dawa za umma pamoja na vifaa tiba ili kuweza kudhibiti upotevu wa dawa pamoja na vifaa tiba.
Mwaifwani aliyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya mikakati bohari hiyo katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.
Alisema katika mkakati mwingine ni kuanzisha maduka ya jumla...
10 years ago
MichuziKAIMU MKURUGENZI BOHARI YA DAWA (MSD), AZUNGUMZIA UFUNGUAJI MADUKA YAO KARIBU NA WANANCHI