Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSD kuweka nembo ya serikali kwenye dawa zake

Serikali imesema kuwa itahakikisha dawa katika Mahospitali na Vituo vya afya zinapatikana kwa wakati kama ambavyo ahadi ya Rais Dkt. Magufuli aliyokuwa akiitoa katika kampeni zake, sasa ni hatua ya utekelezaji wa ahadi hii kwa wananchi.
Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi  Mkuu wa MSD Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho maalum ili endapo zikikutwa zipo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MSD kuweka nembo za Serikali kwenye dawa zake, wizi wa dawa kudhibitiwa

Serikali imeamua kuwa itahakikisha dawa zote katika Mahospitali na Vituo vya afya zinapatikana wakati wote. Na kama ambavyo ahadi hiyo imekuwa ikinadiwa na Rais Dkt. Magufuli katika kampeni zake, sasa ni hatua ya utekelezaji wa ahadi hii kwa wananchi umefikia wakati.

Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD),Cosmas Mwaifwani aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho...

 

11 years ago

Michuzi

POLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.

"Haya Mheshimiwa Mbunge sasa nakata utepe kuzindua rasmi usambazaji dawa za serikali ulio chini ya MSD" ni Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Kebwe akishuhudiwa na Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Tibaijuka (Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini) . "Haya tupige makofi kwa pamoja kuashiria kukubali uzinduzi huu" Naibu Waziri Dk. Kebwe (Kulia), Waziri Prof. Tibaijuka (Katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu MSD Bw. Mwaifwani.
Afisa Habari wa...

 

10 years ago

Michuzi

MSD YAKUBALI AGIZO LA SERIKALI KUWEKA ALAMA KATIKA DAWA NA VIFAA TIBA

NA CHALILA KIBUDA GLOBU YA JAMII,DAR
KAIMU Mkurugenzi  Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD),Cosmas Mwaifwani amesema bohari ya dawa imepokea agizo la serikali kuweka alama katika dawa  za umma pamoja na vifaa tiba ili kuweza kudhibiti upotevu wa dawa pamoja na vifaa tiba.
Mwaifwani aliyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya mikakati  bohari hiyo katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.
Alisema katika mkakati mwingine ni kuanzisha maduka ya jumla...

 

11 years ago

Michuzi

MSD yatoa utaratibu wa manunuzi ya dawa ndani ya bohari ya dawa

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa Umma kuhusu utaratibu wa manunuzi ndani ya bohari ya dawa. Kulia ni Mkurugenzi wa Manunuzi wa MSD, Heri Mchunga na Mwanasheria, Domonica Meena.

 

10 years ago

Mwananchi

MSD yaanza kusambaza dawa

>Bohari Kuu ya Dawa (MSD) imeanza kusambaza dawa katika hospitali mbalimbali nchini, baada ya kupokea kiasi cha Sh20 bilioni ambazo ni sehemu ya malipo ya deni linaloidai Serikali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

MSD: Tuna dawa za malaria za kutosha

PAMOJA na kuwepo malalamiko ya kukosekana kwa dawa za malaria katika hospitali mbalimbali nchini, Bohari ya Dawa (MSD), imesema ina dawa hizo za kutosha. Akizungumza na Tanzania Daima katika maadhimisho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MSD watakiwa kununua dawa asili

CHAMA cha Watabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME) kimeitaka Bohari ya Dawa (MSD), kujenga mazoea ya kununua dawa asili, ili ziweze kutumika sambamba na dawa nyingine katika vituo vya afya...

 

9 years ago

Mwananchi

MSD wafungua duka la dawa Muhimbili

Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) imetekeleza agizo la Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue kwa kufungua duka la dawa za binadamu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

 

9 years ago

Michuzi

MSD YATAKAIWA KUTOA DAWA ZINAZOHITAJIKA

Vikundi mbalimbali vya wajasiriamali wa Vicoba, Saccos na wasindikajingozi waMji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,wakiwa kwenye kongamanola uhamasishaji wa mpango wa bima ya afya kwa wajasiriamali na vikundivilivyosajiliwa (Kikoa)  Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) Mkoani Manyara, Isaya Shekifu akizungumza jana katika kongamano la uhamasishaji wa mpango wa bima ya afya wa kikoa kwa wajasiriamali na vikundi vilivyosajiliwa Mji mdogo wa Mirerani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani