MSD: Tuna dawa za malaria za kutosha
PAMOJA na kuwepo malalamiko ya kukosekana kwa dawa za malaria katika hospitali mbalimbali nchini, Bohari ya Dawa (MSD), imesema ina dawa hizo za kutosha. Akizungumza na Tanzania Daima katika maadhimisho...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BpcxhYIbWSZ0OyJzYTxdyZQB7Ki6yfFlLMXiwN0wlAnCS6nU9o7jMqrO10hHBx*rCM-gmqBIi6nDMgFIpxU5GaFrc6Vag8Q8/uwazi.gif?width=640)
TUNA MUDA WA KUTOSHA KUJADILI MAISHA?
NIÂ matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya njema na mnaendelea vizuri na mihangaiko ya kila siku ya maisha. Ni wakati mwingine tena tunakutana kujadili mambo yetu ya mapenzi na maisha. Leo nina jambo moja la msingi ambalo ningependa kujadili kwa pamoja, wakati huu tunapokaribia kumaliza mwaka na kuukaribisha mwingine. Najua wazazi wengi hiki ni kipindi cha maumivu kwa vile tutalazimika kutumia fedha kwa ajili ya kuandaa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-T56Ho0rXFCo/UwYiy9pDnLI/AAAAAAAFOXQ/-1v0oRADaOc/s72-c/DSC_9936.jpg)
MSD yatoa utaratibu wa manunuzi ya dawa ndani ya bohari ya dawa
![](http://2.bp.blogspot.com/-T56Ho0rXFCo/UwYiy9pDnLI/AAAAAAAFOXQ/-1v0oRADaOc/s1600/DSC_9936.jpg)
9 years ago
MichuziMSD kuweka nembo za Serikali kwenye dawa zake, wizi wa dawa kudhibitiwa
Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD),Cosmas Mwaifwani aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho...
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Wataalam: Elimu ya kutosha inahitajika kupambana na Malaria
Elimu ndogo juu ya kupambana na mbu wanaoeneza ugonjwa wa Malaria ndio inachangia vita dhidi ya ugonjwa huo kuwa ngumu, imeelezwa.
11 years ago
MichuziPOLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.
![](http://3.bp.blogspot.com/-EwjUyaEScrY/Ux2DlBq6VaI/AAAAAAAA0Rg/qUnegDdlwak/s1600/01.MSD5.jpg)
10 years ago
Mwananchi19 Nov
MSD yaanza kusambaza dawa
>Bohari Kuu ya Dawa (MSD) imeanza kusambaza dawa katika hospitali mbalimbali nchini, baada ya kupokea kiasi cha Sh20 bilioni ambazo ni sehemu ya malipo ya deni linaloidai Serikali.
10 years ago
Mwananchi24 Dec
MSD kufungua maduka ya dawa mitaani
>Bohari ya Dawa nchini (MSD) imepanga kuanzisha maduka ya dawa katika maeneo yote ya nchi kwa ajili ya kurahisisha usambazaji wa dawa na vifaa tiba.
9 years ago
Mwananchi01 Dec
MSD wafungua duka la dawa Muhimbili
Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) imetekeleza agizo la Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue kwa kufungua duka la dawa za binadamu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
9 years ago
MichuziMSD YATAKAIWA KUTOA DAWA ZINAZOHITAJIKA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania