Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSD wafungua duka la dawa Muhimbili

Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) imetekeleza agizo la Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue kwa kufungua duka la dawa za binadamu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MSD YAKARABATI JENGO LA DUKA LA DAWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KWA KASI KUBWA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS DK.MAGUFULI

Na Dotto Mwaibale

BOHARI ya Dawa (MSD) imejiimarisha na kuhahikisha inatekeleza kwa wakati agizo la Rais Dk. John Magufuli la kuweka maduka ya dawa katika hospitali za rufaa na kanda nchini.

Katika kutekeleza agizo hilo MSD imeanza kwa kasi kubwa ya kukarabati jengo la duka la dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), ambalo linatarajiwa kufunguliwa kesho.

Mwandishi wa habari hii alishuhudia jana kasi kubwa ya mafundi ujenzi wakikarabati jengo hilo ambalo awali lilikuwa...

 

9 years ago

Habarileo

Duka la dawa Muhimbili lazinduliwa

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando amezindua duka la dawa la Bohari Kuu ya Dawa (MSD) lililofunguliwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kutekeleza agizo la Rais John Magufuli.

 

11 years ago

Mwananchi

Tigo wafungua duka huduma kwa wateja

Kampuni ya Simu za Mkononi Tigo imefungua maduka 50 nchini ili kurahishisha upatikanaji huduma kwa wateja wake.

 

5 years ago

Michuzi

DUKA LA DAWA HOSPITALI YA BAGAMOYO LASAIDIA UPATIKANAJI WA DAWA KIRAHISI

Na Mwamvua Mwinyi, PwaniDUKA la dawa linalomilikiwa na hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, linasaidia upatikanaji dawa kirahisi kwa wagonjwa wanaofika kwa ajili ya huduma ya tiba,ambapo lilipata mkopo wa dawa za sh.milioni 50 kutoka MSD, na kufanikiwa kupata sh. milioni 36.
Duka hilo lililoanzishwa kwa mtaji wa sh.milioni 4, walianza kununua dawa muhimu na za lazima kwa wateja wa Bima.
Hayo yalielezwa na Mganga Mkuu wa wilaya (DMO) Dk. Aziz Msuya mbele ya viongozi wa halmashauri ya...

 

11 years ago

Michuzi

MSD yatoa utaratibu wa manunuzi ya dawa ndani ya bohari ya dawa

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa Umma kuhusu utaratibu wa manunuzi ndani ya bohari ya dawa. Kulia ni Mkurugenzi wa Manunuzi wa MSD, Heri Mchunga na Mwanasheria, Domonica Meena.

 

9 years ago

Michuzi

MSD kuweka nembo za Serikali kwenye dawa zake, wizi wa dawa kudhibitiwa

Serikali imeamua kuwa itahakikisha dawa zote katika Mahospitali na Vituo vya afya zinapatikana wakati wote. Na kama ambavyo ahadi hiyo imekuwa ikinadiwa na Rais Dkt. Magufuli katika kampeni zake, sasa ni hatua ya utekelezaji wa ahadi hii kwa wananchi umefikia wakati.

Katika kulitekeleza hilo, Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD),Cosmas Mwaifwani aliagizwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando kwa niaba ya Rais, kuhakikisha kuwa dawa zote za Serikali zinakuwa na utambulisho...

 

11 years ago

Michuzi

POLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.

"Haya Mheshimiwa Mbunge sasa nakata utepe kuzindua rasmi usambazaji dawa za serikali ulio chini ya MSD" ni Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Kebwe akishuhudiwa na Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Tibaijuka (Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini) . "Haya tupige makofi kwa pamoja kuashiria kukubali uzinduzi huu" Naibu Waziri Dk. Kebwe (Kulia), Waziri Prof. Tibaijuka (Katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu MSD Bw. Mwaifwani.
Afisa Habari wa...

 

11 years ago

Michuzi

DUKA LA DAWA ZA ASILI LILALOTEMBEA

Kamera ya Globu ya Jamii iliinasa taswira ya duka hili la dawa za asili linalotembea likiwa limepaki maeneo ya Soko Kuu la Arusha,likiendeleza libeneke lake kama kawa huku mmoja wa wateja akiendelea kupata huduma.

 

10 years ago

Mwananchi

MSD yaanza kusambaza dawa

>Bohari Kuu ya Dawa (MSD) imeanza kusambaza dawa katika hospitali mbalimbali nchini, baada ya kupokea kiasi cha Sh20 bilioni ambazo ni sehemu ya malipo ya deni linaloidai Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani