Duka la dawa Muhimbili lazinduliwa
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando amezindua duka la dawa la Bohari Kuu ya Dawa (MSD) lililofunguliwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kutekeleza agizo la Rais John Magufuli.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi01 Dec
MSD wafungua duka la dawa Muhimbili
Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) imetekeleza agizo la Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue kwa kufungua duka la dawa za binadamu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
9 years ago
MichuziMSD YAKARABATI JENGO LA DUKA LA DAWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KWA KASI KUBWA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS DK.MAGUFULI
Na Dotto Mwaibale
BOHARI ya Dawa (MSD) imejiimarisha na kuhahikisha inatekeleza kwa wakati agizo la Rais Dk. John Magufuli la kuweka maduka ya dawa katika hospitali za rufaa na kanda nchini.
Katika kutekeleza agizo hilo MSD imeanza kwa kasi kubwa ya kukarabati jengo la duka la dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), ambalo linatarajiwa kufunguliwa kesho.
Mwandishi wa habari hii alishuhudia jana kasi kubwa ya mafundi ujenzi wakikarabati jengo hilo ambalo awali lilikuwa...
BOHARI ya Dawa (MSD) imejiimarisha na kuhahikisha inatekeleza kwa wakati agizo la Rais Dk. John Magufuli la kuweka maduka ya dawa katika hospitali za rufaa na kanda nchini.
Katika kutekeleza agizo hilo MSD imeanza kwa kasi kubwa ya kukarabati jengo la duka la dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), ambalo linatarajiwa kufunguliwa kesho.
Mwandishi wa habari hii alishuhudia jana kasi kubwa ya mafundi ujenzi wakikarabati jengo hilo ambalo awali lilikuwa...
5 years ago
Michuzi
DUKA LA DAWA HOSPITALI YA BAGAMOYO LASAIDIA UPATIKANAJI WA DAWA KIRAHISI

Duka hilo lililoanzishwa kwa mtaji wa sh.milioni 4, walianza kununua dawa muhimu na za lazima kwa wateja wa Bima.
Hayo yalielezwa na Mganga Mkuu wa wilaya (DMO) Dk. Aziz Msuya mbele ya viongozi wa halmashauri ya...
11 years ago
Michuzi
DUKA LA DAWA ZA ASILI LILALOTEMBEA

5 years ago
Michuzi
OPESHENI YA DUKA KWA DUKA YAANZA PWANI KUBAINI WAFICHA NA KUUZA SUKARI BEI JUU-WANKYO

JESHI la polisi mkoani Pwani limetangaza msako wa duka kwa duka ,kuwabaini wafanyabiashara ambao wameficha sukari na kuuza kwa bei isiyo elekezi ya sh .2,700 kwa kilo moja ,ambapo ni kinyume cha sheria .
Kutokana na msako huo ulioanza mkoani hapo ,jeshi hilo ,limeshakamata jumla ya kilo 1,037 za sukari pamoja na watuhumiwa saba wanaodaiwa ni wafanyabiashara walioficha sukari hiyo.
Akizungumzia tukio hilo ,kamanda wa polisi mkoani hapo ,Wankyo Nyigesa alieleza kuwa...
5 years ago
Michuzi
UZALISHAJI WA VAZI KINGA (PPE) MUHIMBILI WAONGEZEKA KWA 400% HUKU MAMLAKA YA DAWA NA VIFAA TIBA (TMDA) IKIRIDHIA NA KULITAMBUA




10 years ago
GPL
MUHIMBILI VIFO NJE NJE KISA DAWA HAKUNA
Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’I
NATISHA! Uhaba mkubwa wa madawa, ongezeko la ada ya kitanda na chakula katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, umesababisha watu wengi kupoteza maisha kufuatia wagonjwa kukosa huduma na hivyo kurejea majumbani mwao. Baadhi ya wagonjwa wakiwa katika moja ya wodi za Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa baada ya Bohari Kuu ya Madawa...
9 years ago
Michuzi
Kutoka Ocean Road hadi Muhimbili kuagwa sabuni za kuogea za kufulia, miswaki na dawa za meno kwa watoto wenye matatizo ya kansa waliolazwa hapo na wazazi .
wanafunzi waliosoma zamani shule za St Joseph's Convent School na Forodhani Secondary School (St Josephs and Forodhani ALUMNI) washerehekea tarehe12 December kwa kuwapelekea wagonjwa 360 wa kansa hospitali za Ocean Road na Muhimbili sabuni za kufulia na kuogea, miswaki na dawa za kusafishia meno. Mkuu wa msafara Collins Rutenge, amesema tarehe 9 Disemba walikuwa wakifanya usafi kila mmoja alipo. Kama kukindi waliamua kupeleka vifaa vya usafi kwa wagonjwa wa kansa waliolazwa hospitali za...
11 years ago
BBCSwahili02 Dec
Jukwaa la waekezaji TZ, lazinduliwa
Soko la hisa la Dar Es Salaam Tanzania limezindua jukwaa linalowakutanisha wafanyabiashara na wawekezaji pamoja
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania