SERIKALI: Maduka ya dawa yaliyopo pembezoni na Hospitali kuondolewa nchini!
Na Rabbi Hume
[DAR ES SALAAM] Serikali nchini, kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ipo mbioni kufanya mazungumzo na wamiliki wa maduka ya madawa yaliyopo pembezoni na hospitali za serikali ili kuona uwezekano wa kuhamisha maduka hayo kutoka maeneo ya hospitali ilikuondoa utata uliopo sasa wa baadhi ya watendaji na wafanyakazi wa hospitali hizo kutumia mwaya huo wa kuhamisha madawa na kuweka kwenye maduka...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo13 Nov
Maduka ya dawa karibu na hospitali kuondolewa
SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kuanzisha maduka ya dawa katika hospitali zake zisizokuwa nayo na kuweka maduka mapya ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD), hatua itakayohakikisha dawa zinapatikana katika hospitali hizo.
11 years ago
MichuziPOLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.
![](http://3.bp.blogspot.com/-EwjUyaEScrY/Ux2DlBq6VaI/AAAAAAAA0Rg/qUnegDdlwak/s1600/01.MSD5.jpg)
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Maduka ya dawa nje ya hospitali kufungwa
CHRISTINA GAULUHANGA NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
SERIKALI imesema ipo hatua za mwisho kufunga maduka ya dawa yanayozunguka hospitali zake na vituo vya afya ili kupunguza mgongano wa kimasilahi na wizi wa dawa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk. Donald Mmbando, alisema tayari wameandaa utaratibu maalumu na shirikishi wa maduka ya dawa ambayo rasimu hiyo ipo hatua za mwisho na atakabidhiwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, atakayeteuliwa kwa ajili ya...
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Maduka ya dawa karibu na hospitali kutofungwa
9 years ago
Habarileo11 Nov
Wataka maduka ya dawa jirani na hospitali yaondolewe
WANANCHI katika Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga wamemwomba Rais John Magufuli kuagiza kuondolewa kwa maduka ya dawa yaliyopo jirani na hospitali ya wilaya, kwa lengo wagonjwa kupata huduma stahiki hospitalini hapo.
10 years ago
Mwananchi20 Jun
Utitiri wa maduka ya dawa tatizo nchini
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Wafamasi waitaka Serikali kuyabana maduka ya dawa
11 years ago
Dewji Blog15 Apr
Serikali yapania Kuondoa Tatizo la Dawa katika Hospitali za Umma
Mkurugenzi wa shughuli za Kanda na Huduma kwa wateja toka Bohari ya Dawa (MSD) Bw. Edward Terry Kulia akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo juu ya mpango wa bohari hiyo kupanua maghala ya kuhifadhi Dawa na Vifaa tiba kama moja ya hatua za kuboresha huduma zinazotolewa na Bohari hiyo . Kushoto ni Mkurugenzi wa Manunuzi wa Bohari hiyo Bw. Heri Mchunga.
Mkurugenzi wa Manunuzi Bohari ya Dawa (MSD) Bw. Heri Mchunga akielezea kwa waandishi wa...
9 years ago
Michuzi06 Sep
BI. SAMIA SULUHU AHIDI KUDHIBITI WIZI WA DAWA HOSPITALI ZA SERIKALI
![Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akiwaonesha ilani ya chama hicho na kuainisha mipango mizuri ambayo imewekwa katika kuimarisha huduma katika sekta mbalimbali.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_01201.jpg)
![Meya wa Ilala Jerry Slaa ambaye pia ni mgombea ubunge CCM Jimbo la Ukonga akizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0279.jpg)
![Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam jana.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0409.jpg)