Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maduka ya dawa nje ya hospitali kufungwa

mmbandoCHRISTINA GAULUHANGA NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

SERIKALI imesema ipo hatua za mwisho kufunga maduka ya dawa yanayozunguka hospitali zake na vituo vya afya ili kupunguza mgongano wa kimasilahi na wizi wa dawa.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk. Donald Mmbando, alisema tayari wameandaa utaratibu maalumu na shirikishi wa maduka ya dawa ambayo rasimu hiyo ipo hatua za mwisho na atakabidhiwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, atakayeteuliwa kwa ajili ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Maduka ya dawa karibu na hospitali kuondolewa

SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kuanzisha maduka ya dawa katika hospitali zake zisizokuwa nayo na kuweka maduka mapya ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD), hatua itakayohakikisha dawa zinapatikana katika hospitali hizo.

 

9 years ago

Mwananchi

Maduka ya dawa karibu na hospitali kutofungwa

Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando amesema maduka ya dawa ambayo yapo karibu na hospitali zote nchini hayatafungiwa kama ilivyodaiwa badala yake maduka ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD) yatauza dawa zake kwa gharama nafuu.

 

9 years ago

Habarileo

Wataka maduka ya dawa jirani na hospitali yaondolewe

WANANCHI katika Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga wamemwomba Rais John Magufuli kuagiza kuondolewa kwa maduka ya dawa yaliyopo jirani na hospitali ya wilaya, kwa lengo wagonjwa kupata huduma stahiki hospitalini hapo.

 

9 years ago

Dewji Blog

SERIKALI: Maduka ya dawa yaliyopo pembezoni na Hospitali kuondolewa nchini!

pic+katibu+afya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Donald Mmbando.

Na Rabbi Hume

[DAR ES SALAAM] Serikali nchini, kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ipo mbioni kufanya mazungumzo na wamiliki wa maduka ya madawa yaliyopo pembezoni na hospitali za serikali ili kuona uwezekano wa kuhamisha maduka hayo kutoka maeneo ya hospitali  ilikuondoa utata uliopo sasa wa baadhi ya watendaji na wafanyakazi wa hospitali hizo kutumia mwaya huo wa kuhamisha madawa na kuweka kwenye maduka...

 

11 years ago

Michuzi

POLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.

"Haya Mheshimiwa Mbunge sasa nakata utepe kuzindua rasmi usambazaji dawa za serikali ulio chini ya MSD" ni Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Kebwe akishuhudiwa na Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Tibaijuka (Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini) . "Haya tupige makofi kwa pamoja kuashiria kukubali uzinduzi huu" Naibu Waziri Dk. Kebwe (Kulia), Waziri Prof. Tibaijuka (Katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu MSD Bw. Mwaifwani.
Afisa Habari wa...

 

5 years ago

Michuzi

DUKA LA DAWA HOSPITALI YA BAGAMOYO LASAIDIA UPATIKANAJI WA DAWA KIRAHISI

Na Mwamvua Mwinyi, PwaniDUKA la dawa linalomilikiwa na hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, linasaidia upatikanaji dawa kirahisi kwa wagonjwa wanaofika kwa ajili ya huduma ya tiba,ambapo lilipata mkopo wa dawa za sh.milioni 50 kutoka MSD, na kufanikiwa kupata sh. milioni 36.
Duka hilo lililoanzishwa kwa mtaji wa sh.milioni 4, walianza kununua dawa muhimu na za lazima kwa wateja wa Bima.
Hayo yalielezwa na Mganga Mkuu wa wilaya (DMO) Dk. Aziz Msuya mbele ya viongozi wa halmashauri ya...

 

11 years ago

Habarileo

Maduka 50 ya dawa muhimu yafungwa

MADUKA zaidi ya 50 ya dawa muhimu katika Manispaa ya Dodoma, yamefungwa kutokana na kuendeshwa bila kuzingatia sheria na taratibu huku baadhi yake yakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Kufungwa kwa maduka hayo kunafuatia zoezi la kushtukiza la kukagua lililoendeshwa na Baraza la Famasi Nchini kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

MSD kufungua maduka ya dawa mitaani

>Bohari ya Dawa nchini (MSD) imepanga kuanzisha maduka ya dawa katika maeneo yote ya nchi kwa ajili ya kurahisisha usambazaji wa dawa na vifaa tiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani