Maduka ya dawa karibu na hospitali kutofungwa
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando amesema maduka ya dawa ambayo yapo karibu na hospitali zote nchini hayatafungiwa kama ilivyodaiwa badala yake maduka ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD) yatauza dawa zake kwa gharama nafuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo13 Nov
Maduka ya dawa karibu na hospitali kuondolewa
SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kuanzisha maduka ya dawa katika hospitali zake zisizokuwa nayo na kuweka maduka mapya ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD), hatua itakayohakikisha dawa zinapatikana katika hospitali hizo.
10 years ago
MichuziKAIMU MKURUGENZI BOHARI YA DAWA (MSD), AZUNGUMZIA UFUNGUAJI MADUKA YAO KARIBU NA WANANCHI
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Maduka ya dawa nje ya hospitali kufungwa
CHRISTINA GAULUHANGA NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
SERIKALI imesema ipo hatua za mwisho kufunga maduka ya dawa yanayozunguka hospitali zake na vituo vya afya ili kupunguza mgongano wa kimasilahi na wizi wa dawa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk. Donald Mmbando, alisema tayari wameandaa utaratibu maalumu na shirikishi wa maduka ya dawa ambayo rasimu hiyo ipo hatua za mwisho na atakabidhiwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, atakayeteuliwa kwa ajili ya...
9 years ago
Habarileo11 Nov
Wataka maduka ya dawa jirani na hospitali yaondolewe
WANANCHI katika Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga wamemwomba Rais John Magufuli kuagiza kuondolewa kwa maduka ya dawa yaliyopo jirani na hospitali ya wilaya, kwa lengo wagonjwa kupata huduma stahiki hospitalini hapo.
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
SERIKALI: Maduka ya dawa yaliyopo pembezoni na Hospitali kuondolewa nchini!
Na Rabbi Hume
[DAR ES SALAAM] Serikali nchini, kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ipo mbioni kufanya mazungumzo na wamiliki wa maduka ya madawa yaliyopo pembezoni na hospitali za serikali ili kuona uwezekano wa kuhamisha maduka hayo kutoka maeneo ya hospitali ilikuondoa utata uliopo sasa wa baadhi ya watendaji na wafanyakazi wa hospitali hizo kutumia mwaya huo wa kuhamisha madawa na kuweka kwenye maduka...
11 years ago
MichuziPOLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.
![](http://3.bp.blogspot.com/-EwjUyaEScrY/Ux2DlBq6VaI/AAAAAAAA0Rg/qUnegDdlwak/s1600/01.MSD5.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ld1-OWeqWYU/Xqa0CNkr0CI/AAAAAAALoUU/PWyN-g6l4VsLNErdy8lXPAWlZO2l4uazgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200423-WA0034.jpg)
DUKA LA DAWA HOSPITALI YA BAGAMOYO LASAIDIA UPATIKANAJI WA DAWA KIRAHISI
![](https://1.bp.blogspot.com/-ld1-OWeqWYU/Xqa0CNkr0CI/AAAAAAALoUU/PWyN-g6l4VsLNErdy8lXPAWlZO2l4uazgCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200423-WA0034.jpg)
Duka hilo lililoanzishwa kwa mtaji wa sh.milioni 4, walianza kununua dawa muhimu na za lazima kwa wateja wa Bima.
Hayo yalielezwa na Mganga Mkuu wa wilaya (DMO) Dk. Aziz Msuya mbele ya viongozi wa halmashauri ya...
11 years ago
Habarileo28 Jan
Maduka 50 ya dawa muhimu yafungwa
MADUKA zaidi ya 50 ya dawa muhimu katika Manispaa ya Dodoma, yamefungwa kutokana na kuendeshwa bila kuzingatia sheria na taratibu huku baadhi yake yakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Kufungwa kwa maduka hayo kunafuatia zoezi la kushtukiza la kukagua lililoendeshwa na Baraza la Famasi Nchini kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa Dodoma.
10 years ago
Mwananchi24 Dec
MSD kufungua maduka ya dawa mitaani