Maduka 50 ya dawa muhimu yafungwa
MADUKA zaidi ya 50 ya dawa muhimu katika Manispaa ya Dodoma, yamefungwa kutokana na kuendeshwa bila kuzingatia sheria na taratibu huku baadhi yake yakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Kufungwa kwa maduka hayo kunafuatia zoezi la kushtukiza la kukagua lililoendeshwa na Baraza la Famasi Nchini kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa Dodoma.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Maduka ya Uchumi Supermarket yafungwa Tanzania, Uganda
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-jBeiKcj1u2Y/Vh561LfAHMI/AAAAAAABXTs/aRws1LDfuUg/s72-c/front%2Bsegerea.jpg)
MADUKA YA UCHUMI SUPERMARKET YAFUNGWA NCHINI TANZANIA NA UGANDA
![](http://2.bp.blogspot.com/-jBeiKcj1u2Y/Vh561LfAHMI/AAAAAAABXTs/aRws1LDfuUg/s640/front%2Bsegerea.jpg)
Uongozi wa Uchumi Supermarket umetangaza kufunga shughuli zake katika maduka yake yaliyopo Tanzania na Uganda ili kutoa nafasi ya kuzuia mtikisiko wa kifedha unaoikumba kampuni hiyo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Uchumi, Dk Julius Kipng'etich, amesema Bodi imeamua kufunga vitengo vya kikanda ili kuimarisha shughuli zake nchini Kenya baada ya kupata hasara katika maduka yake ya Uganda na Tanzania."Maduka yetu ya Uganda na Tanzania huchangia asilimia 25 tu ya gharama za uendeshaji. Matawi hayo...
11 years ago
MichuziPOLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.
![](http://3.bp.blogspot.com/-EwjUyaEScrY/Ux2DlBq6VaI/AAAAAAAA0Rg/qUnegDdlwak/s1600/01.MSD5.jpg)
9 years ago
MichuziWAKAZI WA JIJI LA MBEYA WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA, MADUKA YAFUNGWA KUAJILI YA UCHAGUZI
Hapa ni eneo la Mwanjelwa maharufu kwa Jina la Mtaa wa kongo likiwa Pweke kuajili ya uchaguzi hakuna alie leta Biashara yake hapa siku hii ya leo.
Baadhii ya...
9 years ago
Habarileo13 Nov
Maduka ya dawa karibu na hospitali kuondolewa
SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kuanzisha maduka ya dawa katika hospitali zake zisizokuwa nayo na kuweka maduka mapya ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD), hatua itakayohakikisha dawa zinapatikana katika hospitali hizo.
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Maduka ya dawa nje ya hospitali kufungwa
CHRISTINA GAULUHANGA NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
SERIKALI imesema ipo hatua za mwisho kufunga maduka ya dawa yanayozunguka hospitali zake na vituo vya afya ili kupunguza mgongano wa kimasilahi na wizi wa dawa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk. Donald Mmbando, alisema tayari wameandaa utaratibu maalumu na shirikishi wa maduka ya dawa ambayo rasimu hiyo ipo hatua za mwisho na atakabidhiwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, atakayeteuliwa kwa ajili ya...
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Maduka ya dawa karibu na hospitali kutofungwa
10 years ago
Mwananchi24 Dec
MSD kufungua maduka ya dawa mitaani
10 years ago
Mwananchi20 Jun
Utitiri wa maduka ya dawa tatizo nchini