Utitiri wa maduka ya dawa tatizo nchini
Dar es Salaam. Chama cha Mafamasia nchini (PST) kimesema matatizo mengi yatokanayo na matumizi mabaya ya dawa yanasababishwa na uwepo wa maduka ya dawa yasiyo na wataalamu na yanayoendeshwa kiholela.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziPOLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.

9 years ago
Dewji Blog12 Nov
SERIKALI: Maduka ya dawa yaliyopo pembezoni na Hospitali kuondolewa nchini!
Na Rabbi Hume
[DAR ES SALAAM] Serikali nchini, kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ipo mbioni kufanya mazungumzo na wamiliki wa maduka ya madawa yaliyopo pembezoni na hospitali za serikali ili kuona uwezekano wa kuhamisha maduka hayo kutoka maeneo ya hospitali ilikuondoa utata uliopo sasa wa baadhi ya watendaji na wafanyakazi wa hospitali hizo kutumia mwaya huo wa kuhamisha madawa na kuweka kwenye maduka...
11 years ago
Habarileo28 Jan
Maduka 50 ya dawa muhimu yafungwa
MADUKA zaidi ya 50 ya dawa muhimu katika Manispaa ya Dodoma, yamefungwa kutokana na kuendeshwa bila kuzingatia sheria na taratibu huku baadhi yake yakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Kufungwa kwa maduka hayo kunafuatia zoezi la kushtukiza la kukagua lililoendeshwa na Baraza la Famasi Nchini kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa Dodoma.
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Maduka ya dawa nje ya hospitali kufungwa
CHRISTINA GAULUHANGA NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
SERIKALI imesema ipo hatua za mwisho kufunga maduka ya dawa yanayozunguka hospitali zake na vituo vya afya ili kupunguza mgongano wa kimasilahi na wizi wa dawa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk. Donald Mmbando, alisema tayari wameandaa utaratibu maalumu na shirikishi wa maduka ya dawa ambayo rasimu hiyo ipo hatua za mwisho na atakabidhiwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, atakayeteuliwa kwa ajili ya...
9 years ago
Habarileo13 Nov
Maduka ya dawa karibu na hospitali kuondolewa
SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kuanzisha maduka ya dawa katika hospitali zake zisizokuwa nayo na kuweka maduka mapya ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD), hatua itakayohakikisha dawa zinapatikana katika hospitali hizo.
10 years ago
Mwananchi24 Dec
MSD kufungua maduka ya dawa mitaani
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Maduka ya dawa karibu na hospitali kutofungwa
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Walia na utitiri wa kodi nchini
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Wafamasi waitaka Serikali kuyabana maduka ya dawa