Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walia na utitiri wa kodi nchini

Chama cha Wafanyabiashara na Viwanda Tanzania (TCCIA) Iringa, kimeishauri Serikali kupunguza utitiri wa kodi ili kuvutia wawekezaji na kuharakisha maendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utitiri wa kodi nchini wamkera Kinana

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ametaja utitiri wa kodi za Tanzania kama kikwazo cha wafanyabiashara kutofanikiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Utitiri wa kodi waikwaza TCCIA

Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), mkoani Lindi kimeishauri Serikali kukabidhi kazi ya ukusanyaji kodi kwa mamlaka husika ili kupunguza mrundikano wa vyombo vinavyokusanya kodi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Salim Asas alia na utitiri wa kodi

Mkurugenzi wa makampuni ya Asas, Salim Abri akisoma risala fupi kwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na  Uvuvi Dkt Titus Kamani hivi karibuni. (Picha na Friday Simbaya).

IRINGA: Mkurugenzi wa makampuni ya Asas, Salim Abri ameiomba serikali kuondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mazao ya maziwa ambayo ni siagi, jibini, samli, cream na maziwa yenye ladha za matunda.

Salim alitoa kilio hicho mbele ya Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani alipotembea kiwanda cha...

 

5 years ago

Michuzi

CHANGAMOTO YA UMEME NA UTITIRI WA KODI VYALALAMIKIWA MKOA WA MARA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akipata maelezo kuhusu biashara ya ngozi kutoka kwa mfanyabiashara na mfugaji Bw. Jonath Magige wakati wa maonesho ya wafanyabiashara walioshiriki katika mkutano wa mashauriano kati ya Serikali na Sekta binafsi ili kusikiliza changamoto za wawekezaji na wafanyabiashara  uliofanyika Wilaya ya Musoma Mjini Mkoa wa Mara.Naibu Waziri Viwanda na Biashara Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akijibu hoja za wawekezaji na...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima walia na kodi

Wakulima wa mkonge nchini wameiomba Serikali kuondoa kodi sumbufu ikiwamo ya ardhi,OSHA, kodi ya mafuta , VAT kwenye nyuzi na ushuru wa mazao ili kupunguza mzigo wa uendeshaji.

 

10 years ago

Mwananchi

Wapangaji NHC walia na kodi

Baadhi ya wakazi wa mjini Musoma Mkoa wa Mara wamedai kuwa gharama zinazotozwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa wapangaji wake ni kubwa tofauti na maelezo ya Serikali kuwa nyumba hizo ni za bei nafuu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali walia kodi kubwa Sido

Wajasiriamali waliopanga kwenye majengo ya Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (Sido) jijini Dar es Salaam, wamelalamikia kupanda kwa zaidi ya mara tatu kwa kodi ya pango.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Filbert Bayi Schools walia mzigo wa kodi

MKURUGENZI mkuu wa Shule za Filbert Bayi (Filbert Bayi Schools), Anna Bayi, amesema mzigo wa kodi wanazotakiwa kulipa wamiliki wa shule ni mzigo kwao na wazazi. Bayi aliyasema hayo juzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Utitiri wa maduka ya dawa tatizo nchini

Dar es Salaam. Chama cha Mafamasia nchini (PST) kimesema matatizo mengi yatokanayo na matumizi mabaya ya dawa yanasababishwa na uwepo wa maduka ya dawa yasiyo na wataalamu na yanayoendeshwa kiholela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani