Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utitiri wa kodi waikwaza TCCIA

Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), mkoani Lindi kimeishauri Serikali kukabidhi kazi ya ukusanyaji kodi kwa mamlaka husika ili kupunguza mrundikano wa vyombo vinavyokusanya kodi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Walia na utitiri wa kodi nchini

Chama cha Wafanyabiashara na Viwanda Tanzania (TCCIA) Iringa, kimeishauri Serikali kupunguza utitiri wa kodi ili kuvutia wawekezaji na kuharakisha maendeleo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Salim Asas alia na utitiri wa kodi

Mkurugenzi wa makampuni ya Asas, Salim Abri akisoma risala fupi kwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na  Uvuvi Dkt Titus Kamani hivi karibuni. (Picha na Friday Simbaya).

IRINGA: Mkurugenzi wa makampuni ya Asas, Salim Abri ameiomba serikali kuondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mazao ya maziwa ambayo ni siagi, jibini, samli, cream na maziwa yenye ladha za matunda.

Salim alitoa kilio hicho mbele ya Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani alipotembea kiwanda cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Utitiri wa kodi nchini wamkera Kinana

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ametaja utitiri wa kodi za Tanzania kama kikwazo cha wafanyabiashara kutofanikiwa.

 

5 years ago

Michuzi

CHANGAMOTO YA UMEME NA UTITIRI WA KODI VYALALAMIKIWA MKOA WA MARA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akipata maelezo kuhusu biashara ya ngozi kutoka kwa mfanyabiashara na mfugaji Bw. Jonath Magige wakati wa maonesho ya wafanyabiashara walioshiriki katika mkutano wa mashauriano kati ya Serikali na Sekta binafsi ili kusikiliza changamoto za wawekezaji na wafanyabiashara  uliofanyika Wilaya ya Musoma Mjini Mkoa wa Mara.Naibu Waziri Viwanda na Biashara Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akijibu hoja za wawekezaji na...

 

10 years ago

Habarileo

Usafirishaji wa reli waikwaza TPA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Awadhi Massawe KUSHUKA kwa kiwango cha uondoshaji mizigo bandarini kwa njia ya reli kutoka asilimia 10 mwaka 2008 hadi kufikia asilimia moja hivi sasa, kumeathiri uwezo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweza kushindana kikamilifu na bandari za jirani.

 

11 years ago

Mwananchi

TCCIA yatoa ushauri

Rachel Chibwete, Mwananchi

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

10 years ago

Mwananchi

TCCIA: Shirikini maonyesho ya biashara

Wafanyabiashara wametakiwa kushiriki maonyesho ya kimataifa ya biashara yanayotarajiwa kufanyika mkoani hapa kati ya Oktoba 23 na 29, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Kigoda aiponda TCCIA Mbeya

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda amesema Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) Mbeya, kimeshindwa kuandaa vizuri maonyesho ya kimataifa yaliyofunguliwa mwishoni mwa wiki iliyopita jijini hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani