Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCCIA: Shirikini maonyesho ya biashara

Wafanyabiashara wametakiwa kushiriki maonyesho ya kimataifa ya biashara yanayotarajiwa kufanyika mkoani hapa kati ya Oktoba 23 na 29, mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TCCIA inavyorahisisha biashara nchini ili kukuza mauzo ya nje

Uchumi wa Tanzania unahitaji kuongeza mauzo ya nje ili ukue zaidi katika kipindi hiki ambapo shilingi ya kitanzania imekuwa ikiporomoka dhidi ya dola ya Marekani.

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA CHINA 2015, DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Uledi Mussa (wa tano kulia), akifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Bidhaa za China 2015, uliofanyika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo asubuhi. Wengine na maofisa biashara wa China na wadau wa masuala ya biashara. Hapa Katibu Uledi Mussa akitia saini wakati wa ufunguzi wa maonyesha hayo. Hapa akioneshwa bidhaa mbalimbali.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Mwananchi

Maonyesho ya biashara na utalii Tanzania

Maonyesho ya Utalii na Biashara yanatarajiwa kufanyika Dar es Salaam Oktoba mosi hadi tatu, mwaka huu. Ni maonyesho yanajulikana kama ‘Swahili International Tourism Expo (SITE)’ na yanaratibiwa na Bodi ya Utalii Tanzania.

 

10 years ago

GPL

MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YAZINDULIWA DAR

Mwenyekiti wa TCCAI, Francis Likwaro akijaribu ladha ya kahawa katika maonyesho hayo. …Akipewa maelezo na wafanyabiashara wa kigeni.…

 

11 years ago

Michuzi

PPF katika maonyesho ya biashara 2014

 Banda la Mfuko wa Pensheni wa PPF, lililoko kwenye viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam. PPF inashiriki maionyesho ya 38 ya biashara ya mwaka huu 2014 na inawakaribisha wananchi wote kujonea na kupata taarifa ya huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo  Afisa Michango wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Gloria Maboya, (Kulia), akiwapatia taarifa za michango, wanachama wa PPF, waliotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyeshjo ya 38 ya biashara ya kimagtaifa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maonyesho ya biashara ya kimataifa kufanyika Mbeya

ZAIDI ya wafanyabishara 200 na kampuni mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali duniani wanatarajia kushiriki maonyesho ya biashara ya kimataifa katika kituo cha Mikutano cha Mkapa eneo la Sokomatola jijini Mbeya. Mwenyekiti...

 

11 years ago

GPL

VIDEO: MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR (SABASABA)

Baadhi ya matukio yaliyojiri katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam yaliyoanza Juni 28 na kufika tamati Julai 10,…

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAALIKA WATANZANIA MAONYESHO YA BIASHARA 2015

 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakiwa waliovalia vema na kuwa watanashati, wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao kwenye viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. PPF imewaahidi Watanzania kutembelea banda lao ili kujua huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo, ikiwemo fao la elimu, na ule mpango wa uchangiaji wa hiari. Rais Jakaya Kikwete, anatarajiwa kufungua maponyesho hayo yaliyoanza Juni 28, 2015, hapo Julai Mosi Mmoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani