TCCIA inavyorahisisha biashara nchini ili kukuza mauzo ya nje
Uchumi wa Tanzania unahitaji kuongeza mauzo ya nje ili ukue zaidi katika kipindi hiki ambapo shilingi ya kitanzania imekuwa ikiporomoka dhidi ya dola ya Marekani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBARAZA LA BIASHARA MKOA WA DODOMA LASISITIZA USHIRIKIANO BAINA YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI ILI KUONGEZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUKUZA UCHUMI WA DODOMA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/--0oWK_IzAS0/Va4krqZvE9I/AAAAAAAHqzg/tsqd7Hom8b0/s72-c/unnamed%2B%252896%2529.jpg)
Kongamano la kuhamasisha ushiriki wa Diaspora katika kukuza biashara ndogo na za kati kufanyika nchini
![](http://2.bp.blogspot.com/--0oWK_IzAS0/Va4krqZvE9I/AAAAAAAHqzg/tsqd7Hom8b0/s640/unnamed%2B%252896%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Y4HNlvwe70g/Va4krNTZSSI/AAAAAAAHqzc/rqPY-Vw4iUY/s640/unnamed%2B%252897%2529.jpg)
10 years ago
Mwananchi10 Oct
TCCIA: Shirikini maonyesho ya biashara
Wafanyabiashara wametakiwa kushiriki maonyesho ya kimataifa ya biashara yanayotarajiwa kufanyika mkoani hapa kati ya Oktoba 23 na 29, mwaka huu.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-r-9FBaj8wFQ/VebGSF6iX9I/AAAAAAAH1wg/uZj9wrqb8Xc/s72-c/download.png)
BENKI YA EXIM YASAINI MAKUBALIANO NA TAASISI YA FEDHA YA UJERUMANI ILI KUINUA BIASHARA NCHINI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-r-9FBaj8wFQ/VebGSF6iX9I/AAAAAAAH1wg/uZj9wrqb8Xc/s320/download.png)
Kwa mujibu wa Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya hiyo, Bw. Selemani Ponda fedha hizo zilizo katika mfumo wa mkopo mkubwa, zitatolewa kwa awamu mbili kwa kuzingatia maendeleo ya ukuaji...
10 years ago
Bongo528 Aug
Baba yake Beyonce adai kuwa mwanae na Jay Z walisambaza tetesi za talaka kukuza mauzo ya tiketi ya ziara yao
Baba yake na Beyoncé anadai kuwa mwanae na Jay Z walisambaza kwa makusudi tetesi za talaka kukuza mauzo ya tiketi za ziara yao ya ‘On The Run’. Jay Z akimbusu mkewe Beyonce kwenye MTV VMA wakiwa na mtoto wao Blue Ivy Mathew Knowles alitoa kauli hiyo ya kushtusha alipokuwa akihojiwa katika The Roula And Ryan […]
10 years ago
Mwananchi07 May
Tatizo linaloweza kutatuliwa na mauzo ya nje
Thamani ya Shilingi ya Tanzania imekuwa ikishuka dhidi ya Dola ya Marekani lakini wataalamu wanaona tatizo hili linaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa na mauzo ya nje ya nchi iwapo yataimarishwa kiasi cha kuzidi yale ya bidhaa kutoka nje ya nchi.
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Lango la biashara Falme za Kiarabu, ni fursa ya Watanzania kukuza uchumi
Ukuzaji fursa za Kiuchumi Afrika (Agoa), ni mpango ulioanzishwa kwa minajili ya kuziwezesha nchi za Afrika kuuza bidhaa zao Marekani.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-z6TWxWPqoHY/VoH-WjUW8PI/AAAAAAAIPF0/DBTsjgJSnKo/s72-c/3db1384b-0a1c-4f01-b51c-b6b6da09d9bb.jpg)
Dkt. Mpango awaasa Watumishi Wizara ya Fedha na Mipango kufanya kazi kwa bidii ili kukuza uchumi wa nchi.
Watumishi Wizara ya Fedha na Mipango wameaswa kufanya kazi kwa weledi na kuwekeza nguvu zaidi katika ukusanyaji mapato ili kukuza uchumi wa nchi na kuifanya nchi iwe kitovu cha uchumi Barani Afrika. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango alipokuwa akiongea na watendaji wa Wizara hiyo alipowasili Wizarani hapo mara baada ya kuapishwa jana Ikulu jijini Dar es salaam. Katika mazungumzo yake na watendaji hao, Mhe. Dkt. Mpango, aliuagiza uongozi wa Wizara yake...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania