Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kongamano la kuhamasisha ushiriki wa Diaspora katika kukuza biashara ndogo na za kati kufanyika nchini

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Diaspora kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bi. Rosemary Jairo akiongea na waandishi wa Habari kuhusu Maandalizi ya Kongamano la Diaspora (Tanzania and SMEs Partnership Conference 2015) litakalofanyika kuanzia tarehe 13-15 Agosti 2015 Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO), Leo Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Idara ya Diaspora kutoka Wizara ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SERIKALI KUITISHA KONGAMANO LA UWEKEZAJI WA BISHARA NDOGO NA ZA KATI

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (Maelezo),  Zamaradi  Kawawa  akimtambulisha (Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Diaspora, Rosemary Jairo, (Kulia). Bi. Jairo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza. SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kwa kushirikiana na  Kituo cha Uwekezaji cha...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR AGOSTI

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali inaandaa kongamano la siku mbili litakalojadili mustakabali wa wana diaspora wa Tanzania kutoka nchi zote duniani ikiwa ni pamoja na kuwakutanisha na makampuni na wafanyabishara mbalimbali.
Ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki wakati alipokutana na Watanzania wanaoishi Uingereza kwenye mkutano uliofanyika ubalozi wa Tanzania jijini London.
Waziri Mkuu alisema kongamano hilo ambalo limepangwa kufanyika Agosti 14-15, mwaka huu, linalenga kuitambulisha...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA ALHAMISI AGOSTI 14, 2015 HOTELI YA SERENA

Tukielekea kukamilisha maandalizi ya kongamano la Diaspora litakalofanyika kesho tarehe 13 hadi 15 Agosti, 2015 napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kukubali mwaliko wetu wa kushiriki kongamano hilo na pia kuwakumbusha yafuatayo:

1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na 
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa kukuza biashara na ushirikiano kwa sekta za umeme za Afrika kufanyika mjini Washington DC Januari mwakani

poweringafricasummit

-Umeme Afrika: Mkutano Utafanyika Katika Mji wa Washington DC, Tarehe 28-30 Januari 2015,

-Ahadi Kutoka Nchi 12 za Afrika Kukuza Ushiriki wa Sekta ya Kibinafsi Katika Sekta ya Umeme ya Afrika

Kwa miaka 20 iliyopita EnergyNet imepanga mikutano ya wawekezaji na baadhi ya wakuzaji wa umeme wa kuaminika na mashuhuri wanaoendesha biashara barani Afrika.  Symbion Power, GE, Siemens, Copperbelt, Goldwind, Azura Power, Aldwych, Karpowership, Globeleq, Schneider Electric, ESBi, Transcorp, Chint,...

 

9 years ago

Vijimambo

Waziri Membe afungua Kongamano la Pili la Diaspora nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaina Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Watanzania waishio nje (Diaspora) ambalo limebeba kaulimbiu isemayo "Tanzanian Diaspora and SMEs in Partnership for Development and Job-Creation". Kongamno hilo la siku mbili limefanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na...

 

11 years ago

Mwananchi

Diaspora, Serikali kujadili maendeleo katika kongamano

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali inaandaa kongamano la siku mbili litakalojadili mustakabali wa Watanzania kutoka nchi zote duniani ikiwa ni pamoja na kukutanisha kampuni na wafanyabiashara mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani