Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prince Katega Anazungumzia Kongamano La Biashara Na Viwanda Kwa Diaspora Wa Kitanzania Burmingham.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kongamano la kuhamasisha ushiriki wa Diaspora katika kukuza biashara ndogo na za kati kufanyika nchini

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Diaspora kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bi. Rosemary Jairo akiongea na waandishi wa Habari kuhusu Maandalizi ya Kongamano la Diaspora (Tanzania and SMEs Partnership Conference 2015) litakalofanyika kuanzia tarehe 13-15 Agosti 2015 Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO), Leo Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Idara ya Diaspora kutoka Wizara ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (katikati) akipata ufafanuzi kuhusu matumizi ya mashine ya Cherehani katika utengenezaji wa Barakoa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Uchapishaji cha Five stars, Ashik Abbas Karim (kushoto), leo Aprili 20, 2020 alipokua katika ziara ya Jijini Dar es Salaam ya kutembelea Viwanda vinavyozalisha Barakoa na Vitakasa Mikono. Waziri wa Viwanda na Biashara,  Innocent Bashungwa (katikati) akisikiliza kwa makini maelezo ya eneo la...

 

10 years ago

Vijimambo

DIASPORA KUTOKA MAREKANI WAWAKILISHA KWENYE KONGAMANO LA DIASPORA DAR

 Diaspora toka Marekani wakihudhuria kongamano la Diaspora 2015 lililoanza leo katika hotel ya Serena iliyopo jijini Dar Es Salaam Kutoka kushoto ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly, Bi. Agnetta Kamgisha na Mariam Kalala Nyang'oro kutoka Jumuiya ya Watanzania Nort CarolinaWatanzania wakiwakilisha Diaspora kutoka Marekani wakihudhuria kongamano la Diaspora la Ubia SMEs 2015 Serena Hotel jijini Dar. Kutoka kushoto ni Agnetta Kamgisha, Mariam Kalala Nyang'oro na Asha...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na  Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho.Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili ya uzalishaji wa Magurudumu mapema mwaka huu. Kiwanda hicho...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ,JANET MBENE ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na  Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho. Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili...

 

9 years ago

Michuzi

Kongamano la Diaspora na Wajasiriamali likiendelea kwa siku ya pili jijini Dar es Salaam


Chukwu-Emeka Chikezie akiongoza moja ya mdahalo katika kongamano la Diaspora, Balozi wa Marekani nchini Mhe. Mark Childress kwa pamoja na Bw. Ali Mufuruki, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maafisa Watendaji Wakuu nchini, Bw. Richard Miles, Mwakilishi wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Marekani nchini na Dkt. Silencer Mapuranga, Mchumi kutoka ITC.Balozi wa Marekani nchini, mhe. Childress akichangia mada kuhusu mabadiliko ya kiuchumi Tanzania wakati wa Kongamano la Diaspora.Bw. Miles nae akichangia...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA INNOCENT BASHUNGWA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA KUMI LA BIASHARA ZANZIBAR.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa ameshiriki kwenye Mkutano wa Jukwaa la kumi (10) la biashara Zanzibar. Lenye kauli mbiu isemayo “Ushirikishwaji katika kuleta maendeleo endelevu kupitia uchumi wa bahari"

Mkutano huo umefunguliwa Leo 07.03.2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar na Mgeni rasmi alikuwa ni Mwenyekiti wa jukwaa la biashara na Rais wa Zanzibar Mhe .Dkt Ali Mohamed Shein ambae amefungua jukwaa hilo ambalo lengo kuu ni kutazama fursa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani