Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHANGAMOTO YA UMEME NA UTITIRI WA KODI VYALALAMIKIWA MKOA WA MARA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akipata maelezo kuhusu biashara ya ngozi kutoka kwa mfanyabiashara na mfugaji Bw. Jonath Magige wakati wa maonesho ya wafanyabiashara walioshiriki katika mkutano wa mashauriano kati ya Serikali na Sekta binafsi ili kusikiliza changamoto za wawekezaji na wafanyabiashara  uliofanyika Wilaya ya Musoma Mjini Mkoa wa Mara.Naibu Waziri Viwanda na Biashara Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akijibu hoja za wawekezaji na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utitiri wa kodi waikwaza TCCIA

Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), mkoani Lindi kimeishauri Serikali kukabidhi kazi ya ukusanyaji kodi kwa mamlaka husika ili kupunguza mrundikano wa vyombo vinavyokusanya kodi.

 

10 years ago

Mwananchi

Walia na utitiri wa kodi nchini

Chama cha Wafanyabiashara na Viwanda Tanzania (TCCIA) Iringa, kimeishauri Serikali kupunguza utitiri wa kodi ili kuvutia wawekezaji na kuharakisha maendeleo.

 

10 years ago

Mwananchi

Utitiri wa kodi nchini wamkera Kinana

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ametaja utitiri wa kodi za Tanzania kama kikwazo cha wafanyabiashara kutofanikiwa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Salim Asas alia na utitiri wa kodi

Mkurugenzi wa makampuni ya Asas, Salim Abri akisoma risala fupi kwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na  Uvuvi Dkt Titus Kamani hivi karibuni. (Picha na Friday Simbaya).

IRINGA: Mkurugenzi wa makampuni ya Asas, Salim Abri ameiomba serikali kuondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mazao ya maziwa ambayo ni siagi, jibini, samli, cream na maziwa yenye ladha za matunda.

Salim alitoa kilio hicho mbele ya Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani alipotembea kiwanda cha...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco yatoa sababu kukatika umeme mara kwa mara

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa ufafanuzi kuhusu  tatizo la kukatika  kwa umeme linaloendelea nchini linatokana na kuongeza taratibu megawati hadi zifikie megawati 335.

 

5 years ago

Michuzi

Uhamiaji Mkoa wa Mara yapokea Kontena kutoka Barrick North Mara


Katika kuendelez can a jitihada za kuunga mkono serikali katika ulinzi na usalama hapa nchini Mgodi wa Barrick North Mara Mkoani Mara umetoa kontena moja (tupu) kwa Idara ya Uhamiaji  wilayani Butiama Mkoani Mara litakalotumika kama Ofisi ndogo katika Kizuizi cha Kirumi ikiwa na lengo la kurahisisha utendaji kazi katika kizuizi hicho.

Akiongea wakati akipokea kontena hilo Afisa uhamiaji Mkoa wa Mara Naibu Kamishna wa Uhamiaji DCI Albert Rwelamila aliwapongeza wakurugenzi wa Barrick North Mara...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisikiliza risala ya umoja wa wafanyabiashara wa Manispaa ya Sumbawanga iliyokuwa ikisomwa kwake na Mwenyekiti wa umoja huo Ndugu Willington Kiziba Ndyetabura (Kulia). Katika risala hiyo yalikuwepo malalamiko mbalimbali ikiwemo ya matumizi ya mashine za EFD ambapo ni pamoja na gharama kubwa za mataengenezo, Ada ya ukaguzi wa majanga ya moto(Fire), Kupanda mara mbili kwa kodi ya mapato kwa wafanyabiashara wadogo na Ulinzi na Usalama kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Vijiji 45 kupata umeme Mara

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema vijiji 45 mkoani Mara vinatarajiwa kuunganishiwa na huduma ya umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

 

10 years ago

Michuzi

Mradi wa TEDAP kutatua changamoto za upatikanaji wa umeme Jijini Dar

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Felchesmi Mramba akiwaeleza waandishi wa Mikakati inayowekwa na shirika hilo ikiwemo kutekeleza miradi mbalimbali ya kuzalisha, kusafirisha na kusambaza Umeme ili kuhakikisha wanakabiliana na Tatizo la Umeme Nchini,wakati wa Ziara kwenye Mradi wa “Tanzania Energy Development and Access Program (TEDAP)” unaotekelezwa katika maeneo ya Mbagala, Gongo la Mboto na Kinyerezi, Jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Idara ya Habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani