Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijiji 45 kupata umeme Mara

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema vijiji 45 mkoani Mara vinatarajiwa kuunganishiwa na huduma ya umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Vijiji 20 Mbozi kupata umeme

ZAIDI ya vijiji 20 Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, vitapata umeme kupitia mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), utakaoanza kutekelezwa Septemba mwaka huu. Mradi huo unaotarajiwa kukamilika Juni mwakani,...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Vijiji 244 kupata umeme Mbeya




WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda NA MWANDISHI WETU, MBEYA.WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema serikali itatumia sh. bilioni 55 kuvipatia umeme vijiji 244 vya mkoa wa Mbeya, kupitia Miradi ya Umeme Vijijini (REA). Alitoa kauli hiyo jana, wakati akizungumza na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mbeya, waliofika kusikiliza majumuisho ya ziara yake ya siku saba kwenye mkoa huo. Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mkapa, jijini Mbeya.
“Nimeambiwa kuwa katika mwaka 2014/15, jumla ya vijiji 244 vitapatiwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco yatoa sababu kukatika umeme mara kwa mara

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa ufafanuzi kuhusu  tatizo la kukatika  kwa umeme linaloendelea nchini linatokana na kuongeza taratibu megawati hadi zifikie megawati 335.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijiji nane kupatiwa umeme

VIJIJI nane vya wilaya ya Nzega vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme kupitia Mpango Kabambe wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili chini ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Naibu Waziri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Vijiji 1,800 kupata mawasiliano ya simu mwakani

MAKAMBA 1

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January Makamba  (Kulia) akizungumza katika mkutano wa wadau wa teknolojia ya Tehama (Capacity Africa 2014) ambapo amesema serikali itaondoa tatizo la mawasiliano nchini na huku ikitarajia kusambaza huduma hiyo kwa vijiji  1,800 ifikapo mwakani na vijiji 4,000 ikikapo mwaka 2017. Kushoto kwa Naibu Waziri Makamba ni  mkurugenzi wa kampuni ya Seacom Byron Clatterbuck na Mwakilishi wa kampuni ya internet solution Prenesh Padayachee.

Na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijiji Mbeya kupatiwa umeme karibuni

SERIKALI imesema imekamilisha kazi ya kupeleka umeme katika Kata ya Iseye na Itendi zilizoko Jimbo la Mbeya Mjini. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,...

 

10 years ago

Habarileo

Vijiji 1,500 nchini kupatiwa umeme

AWAMU ya Pili ya mradi wa usambazaji wa umeme vijijini, unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) unatarajiwa kukamilika kwa mafanikio Juni mwaka huu, ikiwa ni pamoja na kuvipatia umeme vijiji 1,500.

 

5 years ago

Michuzi

Vijiji 8,641 vyafikiwa na umeme wa REA


Jumla ya vijiji 8,641 kati ya vijiji 12,268 vya Tanzania Bara vimeunganishwa  na umeme kupitia Mradi ya Usambazaji Umeme Vijijini (REA) sawa na asilimia 70.4.
Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango wakati akitoa Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango wa mwaka 2019/20 na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2020/21.
“Katika kipindi cha Julai 2015 hadi Januari 2020, jumla ya shilingi trilioni 1.53 zimetumika katika utekelezaji wa mradi huu...

 

10 years ago

Habarileo

Vijiji 93 Njombe na Iringa kufaidi umeme

WATEJA wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) katika mikoa ya Iringa na Njombe wanatarajia kuongezeka kutoka 63,300 wa sasa hadi zaidi ya 93,000 ifikapo mwaka 2017.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani