Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijiji 1,500 nchini kupatiwa umeme

AWAMU ya Pili ya mradi wa usambazaji wa umeme vijijini, unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) unatarajiwa kukamilika kwa mafanikio Juni mwaka huu, ikiwa ni pamoja na kuvipatia umeme vijiji 1,500.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Vijiji nane kupatiwa umeme

VIJIJI nane vya wilaya ya Nzega vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme kupitia Mpango Kabambe wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili chini ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Naibu Waziri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijiji Mbeya kupatiwa umeme karibuni

SERIKALI imesema imekamilisha kazi ya kupeleka umeme katika Kata ya Iseye na Itendi zilizoko Jimbo la Mbeya Mjini. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,...

 

10 years ago

Mwananchi

Vijiji zaidi nchini kupatiwa mawasiliano

Jumla ya vijiji 1,800 vinatarajiwa kupatiwa mawasiliano ya simu ya Teknolojia ya Mawasiliano ya Habari (Tehama ) ifikapo mwakani.

 

5 years ago

Michuzi

VIJIJI VYOTE NCHINI KUFIKIWA NA UMEME-MAJALIWA










Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Nanjaru, Bakari Chuwa (kulia) wakati alipotembelea ghala la chama hicho akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Ruangwa Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokelewa kwa nyimbo wakati alipowasili kwenye kijiji cha Nanjaru akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Ruangwa, Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama magunia...

 

5 years ago

Michuzi

VIJIJI 9,001 NCHINI VIMEUNGANISHIWA UMEME -MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanikiwa kutekeleza Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini (REA) ambapo vijiji vilivyounganishiwa umeme nchini vimeongezeka kutoka vijiji 2,118 mwaka 2015 hadi vijiji 9,001 mwezi Machi 2020.

Amesema kuwa jumla yataasisi 11,128 zikiwemo za elimu, afya, dini, mashine za kusukuma maji na huduma za biashara zimenufaika na mradi, hivyo mafanikio hayo pamoja na mengine makubwa yaliyopatikandani ya kipindi cha takriban miaka mitano yamesaidia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijiji 800 kupatiwa mawasiliano ya simu

VIJIJI 869 vyenye wakazi 1,617,370 vitafaidika na mradi wa mawasiliano kwa wote utakaotolewa na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na makampuni ya simu. Katika mradi huo utakaotekelezwa...

 

11 years ago

Michuzi

Wakazi wa Vijijini Mkoani Ruvuma kupatiwa umeme

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea eneo la jukwaa mara baada ya kuwasili katika eneo palipofanyika uzinduzi wa mradi wa kusambaza umeme vijijini unaosimamiwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) wilaya ya Nyasa. Kulia kwake ni Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo na kushoto kwake ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli

Rais Jakaya M. Kikwete akichukua mkasi kwa ajili ya kukata utepe tayari kuelekea katika eneo la uzinduzi wa mradi wa usambazaji wa umeme wilayani Nyasa mkoa wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule, vituo vya afya Ngara kupatiwa umeme

SERIKALI imesema itazipatia huduma ya umeme shule za sekondari na vituo vya afya wilayani Ngara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa mitambo ya kuzalisha umeme kutoka Kampuni ya Zwart Techniek...

 

10 years ago

Habarileo

Nyumba zaidi ya milioni moja kupatiwa umeme jua

Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Lutengano MwakahesyaTANZANIA imeingia katika mpango wa kutumia umeme jua ujulikanao kama One Milion Solar Homes, wenye lengo la kuzipatia nyumba milioni moja huduma ya umeme wa uhakika na salama kufikia 2017.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani