Wakazi wa Vijijini Mkoani Ruvuma kupatiwa umeme
.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea eneo la jukwaa mara baada ya kuwasili katika eneo palipofanyika uzinduzi wa mradi wa kusambaza umeme vijijini unaosimamiwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) wilaya ya Nyasa. Kulia kwake ni Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo na kushoto kwake ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli
.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMwijage azindua mradi wa umeme uliobuniwa na wananchi kijiji cha Lilondo mkoani Ruvuma
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage amezindua mradi wa umeme wa kiasi cha kilowati 40 uliobuniwa na wananchi katika kijiji cha Lilondo, wilaya ya Songea Vijijini, mkoani Ruvuma ambapo jumla ya nyumba 100 zimeshafaidika kwa kuunganishwa na huduma ya umeme.
Akiwa ameambatana na mbunge wa Jimbo la Peramiho ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama, Naibu waziri Mwijage, alitembelea na kukagua mitambo pamoja na...
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Vijiji nane kupatiwa umeme
VIJIJI nane vya wilaya ya Nzega vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme kupitia Mpango Kabambe wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili chini ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Naibu Waziri...
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Vijiji Mbeya kupatiwa umeme karibuni
SERIKALI imesema imekamilisha kazi ya kupeleka umeme katika Kata ya Iseye na Itendi zilizoko Jimbo la Mbeya Mjini. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,...
10 years ago
Habarileo07 Jan
Vijiji 1,500 nchini kupatiwa umeme
AWAMU ya Pili ya mradi wa usambazaji wa umeme vijijini, unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) unatarajiwa kukamilika kwa mafanikio Juni mwaka huu, ikiwa ni pamoja na kuvipatia umeme vijiji 1,500.
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Shule, vituo vya afya Ngara kupatiwa umeme
SERIKALI imesema itazipatia huduma ya umeme shule za sekondari na vituo vya afya wilayani Ngara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa mitambo ya kuzalisha umeme kutoka Kampuni ya Zwart Techniek...
5 years ago
Michuzi
Wachimbaji Wadogo wa Madini Manyoni Waomba kupatiwa Umeme


Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Singida, Mjiolojia Chone Malembo (kulia)akibadilishana mawazo na mmiliki wa mgodi wa Paulo Msalaba na Washirika, Martin Thomas (kushoto) katika machimbo ya dhahabu yaliyopo katika eneo la Londoni wilayani Manyoni mkoani Singida tarehe 18 Aprili, 2020.

10 years ago
Habarileo16 Feb
Nyumba zaidi ya milioni moja kupatiwa umeme jua
TANZANIA imeingia katika mpango wa kutumia umeme jua ujulikanao kama One Milion Solar Homes, wenye lengo la kuzipatia nyumba milioni moja huduma ya umeme wa uhakika na salama kufikia 2017.
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Umeme vijijini kugharimu bil. 4/-
WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, amesema serikali inatarajia kutumia zaidi ya sh bilioni nne kwa ajili ya mradi wa kufikisha huduma ya umeme katika vijiji...
11 years ago
Dewji Blog20 Oct
Watoto zaidi ya 66,442 mkoani Singida kupatiwa chanjo mpya ya Malaria na Rubella
Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akizindua zoezi la chanjo mpya ya Malaria na Rubella kwa manispaa ya Singida.Uzinduzi huo umefanyika kwenye kituo cha afya cha Sokoine mjini Singida. Pamoja na chanjo ya Malaria na Rubella, pia dawa za minyoo na mabusha zilitolewa.
Na Nathaniel Limu, Singida
HALMASHAURI ya manispaa ya Singida, inatarajia kuchanja watoto 66,422, chanjo mpya ya Malaria na Rubella wakati wa kampeni ya kitaifa inayoanza jana Oktoba 18 hadi 24 mwaka huu.
Hayo yamesemwa...