Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijiji 93 Njombe na Iringa kufaidi umeme

WATEJA wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) katika mikoa ya Iringa na Njombe wanatarajia kuongezeka kutoka 63,300 wa sasa hadi zaidi ya 93,000 ifikapo mwaka 2017.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RED CROSS Tanzania,kuvifikia vijiji 381 Njombe kupeleka elimu ya Corona

Na Amiri kilagalila,NjombeCHAMA cha Msalaba Mwekundu (RED CROSS TANZANIA) wamezindua mpango wa utoaji elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona mkoa wa Njombe,ili kukata mnyororo wa maambukizi ya virusi hivyo nchini Tanzania.
Akizungumza mara baada ya uzinduzi wa zoezi hilo,Rais wa Tanzania red cross Society David Kihenzile,amesema kwa kuwa serikali ilishaanza kufanya kazi ya uelimishaji lakini wao kama Chama wameona haja ya kuongeza nguvu kama wasaidizi wa serikali katika utoaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijiji nane kupatiwa umeme

VIJIJI nane vya wilaya ya Nzega vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme kupitia Mpango Kabambe wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili chini ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Naibu Waziri...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijiji 20 Mbozi kupata umeme

ZAIDI ya vijiji 20 Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, vitapata umeme kupitia mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), utakaoanza kutekelezwa Septemba mwaka huu. Mradi huo unaotarajiwa kukamilika Juni mwakani,...

 

10 years ago

Habarileo

Vijiji 45 kupata umeme Mara

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema vijiji 45 mkoani Mara vinatarajiwa kuunganishiwa na huduma ya umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

 

5 years ago

Michuzi

Vijiji 8,641 vyafikiwa na umeme wa REA


Jumla ya vijiji 8,641 kati ya vijiji 12,268 vya Tanzania Bara vimeunganishwa  na umeme kupitia Mradi ya Usambazaji Umeme Vijijini (REA) sawa na asilimia 70.4.
Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango wakati akitoa Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango wa mwaka 2019/20 na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2020/21.
“Katika kipindi cha Julai 2015 hadi Januari 2020, jumla ya shilingi trilioni 1.53 zimetumika katika utekelezaji wa mradi huu...

 

11 years ago

Habarileo

Vijiji 6 Kilombero kupelekewa umeme wa Kihansi

VIJIJI sita vya Wilaya ya Kilombero, mkoani hapa vinavyopitiwa na njia kuu ya umeme kutoka Kihansi, vinatarajia kunufaika na nishati hiyo mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa msongo wa kilovoti 33.

 

10 years ago

Habarileo

Vijiji 1,500 nchini kupatiwa umeme

AWAMU ya Pili ya mradi wa usambazaji wa umeme vijijini, unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) unatarajiwa kukamilika kwa mafanikio Juni mwaka huu, ikiwa ni pamoja na kuvipatia umeme vijiji 1,500.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijiji Mbeya kupatiwa umeme karibuni

SERIKALI imesema imekamilisha kazi ya kupeleka umeme katika Kata ya Iseye na Itendi zilizoko Jimbo la Mbeya Mjini. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Vijiji 244 kupata umeme Mbeya




WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda NA MWANDISHI WETU, MBEYA.WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema serikali itatumia sh. bilioni 55 kuvipatia umeme vijiji 244 vya mkoa wa Mbeya, kupitia Miradi ya Umeme Vijijini (REA). Alitoa kauli hiyo jana, wakati akizungumza na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mbeya, waliofika kusikiliza majumuisho ya ziara yake ya siku saba kwenye mkoa huo. Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mkapa, jijini Mbeya.
“Nimeambiwa kuwa katika mwaka 2014/15, jumla ya vijiji 244 vitapatiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani