Vijiji 6 Kilombero kupelekewa umeme wa Kihansi
VIJIJI sita vya Wilaya ya Kilombero, mkoani hapa vinavyopitiwa na njia kuu ya umeme kutoka Kihansi, vinatarajia kunufaika na nishati hiyo mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa msongo wa kilovoti 33.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
DC MUFINDI ATEMBELEA MRADI WA YA KUZALISHA UMEME -KIHANSI

10 years ago
Mtanzania16 Mar
Wananchi Kilombero walilia umeme
Na Mwandishi Wetu, Kilombero
WANANCHI wa Kijiji cha Mpanga wilayani Kilombero mkoani Morogoro wamelalamikia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushindwa kufikisha umeme katika shule ya Sekondari ya Mtenga kijijini hapo.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, wananchi hao walisema hawaelewi kwa nini shule hiyo imeondolewa katika orodha ya shule zinazotarajia kupata umeme licha ya umuhimu uliopo hususan suala la matumizi ya maabara.
Akizungumza kwa niaba ya wananchi hao, mkazi wa kijiji...
9 years ago
Michuzi20 Dec
OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA VITUO VYA KUZALISHA UMEME VYA KIDATU NA KIHANSI


9 years ago
Press20 Dec
TUME YA MIPANGO OFISI YA RAIS YAKAGUA MIRADI YA VITUO VYA KUZALISHA UMEME VYA KIDATU NA KIHANSI
Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi) akiangalia na kupata maelezo kutoka kwa Injinia wa kituo Bw. Rajabu Kindunda (wa tatu kulia) kuhusu Bwawa la Kidatu ambalo maji hukusanywa kutoka mto Rufiji kabla ya kutumika kwa ajili ya kuzalisha umeme. Wengine pamoja nae ni wataalamu kutoka Tume ya Mipango na TANESCO.
Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi) akiangalia eneo la...
11 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Vijiji 20 Mbozi kupata umeme
ZAIDI ya vijiji 20 Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, vitapata umeme kupitia mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), utakaoanza kutekelezwa Septemba mwaka huu. Mradi huo unaotarajiwa kukamilika Juni mwakani,...
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Vijiji nane kupatiwa umeme
VIJIJI nane vya wilaya ya Nzega vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme kupitia Mpango Kabambe wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili chini ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Naibu Waziri...
10 years ago
Habarileo25 Dec
Vijiji 45 kupata umeme Mara
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema vijiji 45 mkoani Mara vinatarajiwa kuunganishiwa na huduma ya umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Vijiji Mbeya kupatiwa umeme karibuni
SERIKALI imesema imekamilisha kazi ya kupeleka umeme katika Kata ya Iseye na Itendi zilizoko Jimbo la Mbeya Mjini. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,...
5 years ago
Michuzi
Vijiji 8,641 vyafikiwa na umeme wa REA

Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango wakati akitoa Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango wa mwaka 2019/20 na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2020/21.
“Katika kipindi cha Julai 2015 hadi Januari 2020, jumla ya shilingi trilioni 1.53 zimetumika katika utekelezaji wa mradi huu...