Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi Kilombero walilia umeme

Na Mwandishi Wetu, Kilombero
WANANCHI wa Kijiji cha Mpanga wilayani Kilombero mkoani Morogoro wamelalamikia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushindwa kufikisha umeme katika shule ya Sekondari ya Mtenga kijijini hapo.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, wananchi hao walisema hawaelewi kwa nini shule hiyo imeondolewa katika orodha ya shule zinazotarajia kupata umeme licha ya umuhimu uliopo hususan suala la matumizi ya maabara.
Akizungumza kwa niaba ya wananchi hao, mkazi wa kijiji...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wenye viwanda Arusha walilia umeme

Wamiliki wa viwanda mkoani Arusha, wameishauri Serikali kuingilia kati na kushughulikia tatizo la umeme nchini kutokana na kuathiri uzalishaji wa bidhaa za ndani.

 

11 years ago

Habarileo

Vijiji 6 Kilombero kupelekewa umeme wa Kihansi

VIJIJI sita vya Wilaya ya Kilombero, mkoani hapa vinavyopitiwa na njia kuu ya umeme kutoka Kihansi, vinatarajia kunufaika na nishati hiyo mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa msongo wa kilovoti 33.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi Dumila ‘walilia’ makazi

Waathirika wa mafuriko eneo la Dumila mkoani Morogoro wameiomba Serikali kuharakisha kuwapatia makazi ya kudumu ili waweze kuendelea na shughuli zao kama ilivyokuwa awali.

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WA MAKONGOLOSI CHUNYA WALILIA BARABARA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa wahandisi wanaosimamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Chunya- Makongolosi (Km 39) kutoka kampuni ya SMEC alipokuwa akikagua daraja la mto Lupa, mkoani Mbeya. Mhandisi Mshauri kutoka Kampuni ya SMEC, Daniel Goshima, akimuonesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga (Wanne kulia), nguzo za...

 

9 years ago

Mtanzania

Wananchi 342 Misenyi walilia fidia

Na Mwandishi Wetu, Misenyi

WANAKIJIJI 342 wa vijiji vya Bulembo, Mushasha na Bugolola waliofanyiwa tathimini  kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Ndege wa Kimataifa wa Omukajunguti wilayani Misenyi mkoani Kagera, wamesema wanakerwa na udanganyifu mkubwa unaofanywa na Serikali juu ya malipo ya fidia kwa miaka sita sasa.

Wanakijiji hao walikutana juzi katika ofisi ya Kata ya Mushisha  ili kujadili hatima yao ambapo kwa kauli moja, waliamua kuunda kamati ya watu 16 ili kufuatilia fidia ya malipo...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wananchi Kilombero wamfagilia JK


Na Igamba Libonge, Kilombero
RAIS Jakaya Kikwete ameelezwa kuwa ni kiongozi aliyejitosa kikamilifu kuwakomboa Watanzania kiuchumi na kuwafanya hivi sasa watembee kifua mbele.
Kauli hiyo imetolewa na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kutoka wilaya ya Kilombero, Kanali Mstaafu, Haruni Kondo wakati wa sherehe maalumu ya kumpongeza Rais Kikwete kwa kufanya ziara wilayani Kilombero.
Ziara hiyo imeleta matumaini makubwa kwa wakazi wa Kilombero, hasa utimizaji wa ahadi za Rais Kikwete...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi walilia mradi wa kilimo cha mpunga

Viongozi na wananchi wa Kata ya Kipugila wilayani Rufiji, Pwani wameitaka Serikali kuharakisha mpango wa kupeleka mradi wa kilimo cha mpunga katika vijiji vinne vya kata hiyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi Pwani waonywa kujiunganishia umeme

WANANCHI wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani wameonywa kuachana na vitendo vya kijiunganishia nyaya za umeme kinyume cha taratibu na sheria kwani kufanya hivyo kunaweza kuleta madhara makubwa ya kutokea kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani