Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi walilia mradi wa kilimo cha mpunga

Viongozi na wananchi wa Kata ya Kipugila wilayani Rufiji, Pwani wameitaka Serikali kuharakisha mpango wa kupeleka mradi wa kilimo cha mpunga katika vijiji vinne vya kata hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WASHAURIWA KULIMA KILIMO CHA MATONE BADALA YA KILIMO CHA MAZOEA KINACHOHARIBU MAZINGIRA


 Na Pamela Mollel, Arusha.

KUELEKEA kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika Juni 5  ya kila mwaka wananchi wameshauriwa kulima kilimo cha matone badala ya kilimo cha mazoea ambacho kimekuwa kikiharibu mmomonyoko wa ardhi na kusabisha uharibifu wa mazingira

Hayo yameelezwa leo Juni 4,2020 na Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini Lweis Nzali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba kutumia vyombo vya habari kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya...

 

5 years ago

Michuzi

MAKATIBU WAKUU WARIDHISHWA NA MRADI WA GHALA LA MPUNGA KIJIJI CHA MVUMI

Makatibu Wakuu wa Wizara  nne leo wamefanya ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa miundombinu ya Umwagiliaji mkoani Morogoro na kuridhishwa na kukamilika kwa ghala la kuhifadhia mpunga kijiji cha Mvumi Wilaya ya Kilosa.
Ziara hii imewakutanisha Makatibu wakuu wa Wizara za Kilimo Gerald Kusaya,Wizara ya Viwanda na Biashara Prof.Riziki Shemdoe,Naibu Katibu Mkuu OR -TAMISEMI Bw.Gerlad Mweli na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais ,Mazingira Balozi Joseph Sokoine
Akizungumza kwenye ukaguzi...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM AKISHIRIKI KILIMO CHA UPANDAJI MPUNGA WILAYANI KOROGWE LEO.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchanyata kwa Power tiller kwa ajili ya upandaji miche ya mpunga kwenye vijaruba vya kilimo cha zao hilo cha Umwagiliaji vilivyopo katika kijiji cha Mhenge,Kwamndolwa wilayani Korogwe mkoani Tanga leo.

 

10 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA KWANZA CHA BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu (aliyesimama) akitoa utambulisho kwa wajumbe wapya wa Bodi kabla ya Ufunguzi wa Kikao cha kwanza cha Bodi ya Mradi wa Ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji unaotarajiwa kuanza rasmi kutekelezwa katika eneo la Magereza, Gereza Kigongoni Bagamoyo .Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu akitoa maelezo mafupi kabla ya Ufunguzi wa Kikao cha kwanza cha Bodi ya Mradi wa Ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji unaotarajiwa kuanza...

 

11 years ago

Habarileo

Kilimo sasa kujikita kwenye mashamba ya mpunga, miwa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia KadumaWIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza maeneo ya kipaumbele katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, miongoni mwake ikiwa ni kuendeleza mashamba makubwa ya kibiashara kwa mazao ya miwa na mpunga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima wa mpunga Igunga kunufaika na mradi wa samaki

WAKULIMA wa zao la mpunga Kanda ya Kati, wanatarajia kunufaika na mfumo mpya wa serikali wa kuwaanzishia ujenzi wa Chuo cha Ufugaji Samaki kwa lengo la kuwaongezea kipato. Mkurugenzi Msaidizi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wa kilimo EAC walilia kuuza mazao nje ya nchi

Wadau wa kilimo katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamesema moja ya sababu inayokwaza sekta hiyo kupata maendeleo ni wakulima kuzuiwa kuuza mazao nje ya nchi zao.

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KIKAZI YA WANAHABARI KATIKA UJENZI WA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA IDETE MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Gereza Idete, Mkoani Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Beno Hunja akifanya mahojiano Maalum na Waandishi wa Habari(hawapo pichani) walipotembelea Ofsini kwake Desemba 17, 2014 kujionea ujenzi unaoendelea wa mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji. Mradi huo unajengwa kwa kutumia fedha za ndani na utagharimu kiasi cha Milioni 2.8 hadi kukamilika kwake hivyo kukamilika kwa mradi huo kutalifanya Jeshi la Magereza kuzalisha mazao ya chakula kwa wingi kuliko hivi sasa.Waandishi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi Dumila ‘walilia’ makazi

Waathirika wa mafuriko eneo la Dumila mkoani Morogoro wameiomba Serikali kuharakisha kuwapatia makazi ya kudumu ili waweze kuendelea na shughuli zao kama ilivyokuwa awali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani