Wananchi Pwani waonywa kujiunganishia umeme
WANANCHI wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani wameonywa kuachana na vitendo vya kijiunganishia nyaya za umeme kinyume cha taratibu na sheria kwani kufanya hivyo kunaweza kuleta madhara makubwa ya kutokea kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Mar
Wananchi waonywa mvua za masika
WANANCHI wametakiwa kuchukua tahadhari za aina mbalimbali kukabiliana na maafa zaidi katika kipindi hiki cha mvua zinazonyesha za masika.
10 years ago
Habarileo04 May
Wananchi migodini waonywa utegemezi
WANANCHI ambao wanazunguka maeneo ya uwekezaji wa migodi ya dhahabu, wameonywa kuacha kutegemea kampuni zinazochimba madini hayo kujiletea maendeleo.
11 years ago
Mwananchi13 Oct
Viongozi waonywa kuwatumia wananchi kwa masilahi yao
10 years ago
Mtanzania16 Mar
Wananchi Kilombero walilia umeme
Na Mwandishi Wetu, Kilombero
WANANCHI wa Kijiji cha Mpanga wilayani Kilombero mkoani Morogoro wamelalamikia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushindwa kufikisha umeme katika shule ya Sekondari ya Mtenga kijijini hapo.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, wananchi hao walisema hawaelewi kwa nini shule hiyo imeondolewa katika orodha ya shule zinazotarajia kupata umeme licha ya umuhimu uliopo hususan suala la matumizi ya maabara.
Akizungumza kwa niaba ya wananchi hao, mkazi wa kijiji...
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Wananchi watakiwa kujiandaa kwa umeme
5 years ago
MichuziWANANCHI SINGIDA WATAKIWA KUCHANGAMKIA UMEME WA REA.
Mashimo ya nguzo yakichimbwa.
Upitiaji wa nyaraka za mradi huo ukifanyika.

Mjumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REA) Henry Mwimbe (kushoto) akipitia nyaraka baada ya kukagua mradi wa usambazaji umeme REA II unaoendelea katika wilaya za Iramba, Mkalama, Ikungi na Singida DC. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa REA, Mhandisi Elineema Mkumbo.

Mhandisi Julius Saady kutoka Kampuni ya Kateth Desco Dynamic Engineering Project Cordinator inayotekeleza mradi huo, akizungumzia hatua...
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Mradi wa umeme wa upepo Singida ‘waudhi’ wananchi
Baadhi ya wakazi wa kata ya Kisaki manispaa ya Singida waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano Tanzania, Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akizindua mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.
Na Jumbe Ismail, Singida
SIKU chache tu baada ya Makamu wa Rais,Dk.Mohamed Gharib Bilali kuweka jiwe la msingi la...
5 years ago
Michuzi
NDIKILO AWATOA HOFU WANANCHI PWANI KWA CORONA NA KUSEMA MKOA UPO SALAMA,WAJITAHADHARI

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI
MKOA wa Pwani, umepata washukiwa wanne wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu,(COVID- 19) ,ambao tayari wamechukuliwa sampuli na majibu yameonyesha hawana ugonjwa huo ,hivyo hadi sasa mkoa huo upo salama.
Aidha serikali mkoani hapo ,imeiomba wizara ya afya kuona umuhimu wa kupeleka vifaa vinavyotumika kupima joto kwa wageni wanaoshuka katika kiwanja cha ndege cha Mafia ,ambacho kinapokea watalii na wageni kutoka nje ya nchi kama ilivyo uwanja wa ndege wa Mwl.Nyerere....
11 years ago
CloudsFM30 Oct
WANANCHI WAILALAMIKIA TANESCO KUKATA UMEME BILA TAARIFA
Tatizo la kukatika kwa umeme, imekuwa kero katika maeneo mbalimbali hapa nchini na lawama nyingi kutoka kwa wananchi zimekuwa zikielekezwa kwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Maeneo mengi yamekumbwa na kero hiyo tangu wiki iliyopita mpaka jana huku wahusika wakishindwa kutoa taarifa ya nini kinachosababisha kero hiyo ya kukatika kwa umeme.
Hata hivyo Afisa habari wa TANESCO,Adrian Sevelin akizungumza na Clouds FM leo asubuhi alisema kuwa hali inatokana na matengenezo wanayofanya ikiwemo...