Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi waonywa kuwatumia wananchi kwa masilahi yao

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amewataka viongozi kutowalazimisha wananchi kufanya mambo kwa masilahi yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATOA WITO KWA VIONGOZI KUFANYA MIKUTANO NA WANANCHI NA KURHUSU MASWALI YANAYOHUSU MAENDELEO YAO


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa Kilolo Mnadani waliojitokeza kumlaki katika ziara yake wilayani Kilolo.

MBUNGE wa jimbo la Kilolo mkoani Iringa Profesa Peter Msolla akiwasalimia wananchi wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali ya kikundi cha vijana cha Muungano ambacho kina jumla ya vijana arobaini waliopata mafunzo ya kufyatua matofali na ujenzi.

  Katibu Mkuu...

 

9 years ago

Mwananchi

Wakulima wanataka masilahi yao yazingatiwe

Hivi karibuni Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata), Mkoa wa Manyara kwa kutambua nafasi yao wakiwa wazalishaji wakuu wa mazao ya chakula na biashara, walikutana mjini Babati na kutoa vipaumbele wanavyoitaka vitekelezewe na wagombea.

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wanaodai fedha kwa wajane waonywa

MWENYEKITI wa halmashauri ya mji wa Masasi ambaye pia ni Diwani wa kata ya Nyasa, Andrew Mtumusha ametoa onyo kwa watendaji wa kata, mtaa wenye tabia ya kudai malipo kutoka kwa vikundi vya wajasiriamali wajane pale vikundi hivyo vinapohitaji huduma ikiwemo ya kupitishiwa mihtasari yao ya benki.

 

10 years ago

Michuzi

KINANA ATINGA ISIMANI IRINGA AWATAKA VIONGOZI WASIKWEPE MAJUKUMU YAO YA KUWATUMIKIA WANANCHI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsifia Mbunge wa Jimbo la Isimani,  William Lukuvi kwa uchapakazi wake mzuri wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Magozi, Kata ya Ilolo Mpya, Iringa Vijini leo. Kinana alimjia juu Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu kwa kushindwa kutafutia ufumbuzi migogoro ya wananchi.Pia aliwataka wananchi kuacha kukwepa majukumu yao ya kuwatumikia Wananchi.  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa  CCM, Nape Nauye akihutubia katika mkutano huo

 

10 years ago

GPL

KINANA ATINGA ISIMANI IRINGA AWATAKA VIONGOZI WASIKWEPE MAJUKUMU YAO YA KUWATUMIKIA WANANCHI‏

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsifia Mbunge wa Jimbo la Isimani,  William Lukuvi kwa uchapakazi wake mzuri wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Magozi, Kata ya Ilolo Mpya, Iringa Vijini leo. Kinana alimjia juu Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu kwa kushindwa kutafutia ufumbuzi migogoro ya wananchi.Pia aliwataka wananchi kuacha kukwepa majukumu yao ya kuwatumikia Wananchi. PICHA ZOTE...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AWAKUMBUSHA WANANCHI KUWAUNGA MKONO VIONGOZI WANAOWASIMAMIA HARAKATI ZA MAENDELEO YAO.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi msaada wa Vipaza sauti Amiri  wa Jumuiya ya Sherehe za Siku Kuu ya Iddi Matemwe Ustaadhi Kundi Choum Haji kutekeleza ahadi aliyoip[a Jumuiya hiyo wakati wa sherehe za siku kuu ya Iddi el Hajj iliyopita.  Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman  Iddi akimkabidhi  mchango wa Shilingi 400,000/-  kwa kila kikundi miongoni mwa  vikundi 14 vya Ushirika wa Akina Mama vilivyomo ndani ya  Wilaya ya Kaskazini “ A...

 

10 years ago

Mwananchi

Uraia pacha, masilahi binafsi dhidi ya masilahi ya Taifa

Wanaoendelea kudai uraia pacha, ama hawajasoma Rasimu au wana lao jambo.Salamu zangu kwenu wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, naendelea kuwapa moyo kwamba kazi mnayoifanya ni yetu na ninyi miongoni mwetu mmeonekana wenye sifa na vigezo vya kuitenda kazi hiyo ipasavyo.

 

9 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini waonywa

VIONGOZI wa dini wametakiwa kutoegemea upande wowote wa vyama vya siasa ili kuepusha mpasuko unaoweza kutokea, huku wanasiasa wakiaswa kukubaliana na matokeo kwa kuwa ndiyo mwisho wa ubishi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wa kisiasa waonywa kuitumia TAHLISO

MWENYEKITI mstaafu wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taaluma za Juu Tanzania (TAHLISO), Amon Chakushemeire, amesema jumuiya hiyo inaendeshwa kitaaluma na si kisiasa. Chakushemeire aliyasema hayo juzi jijini Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani