Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wanaodai fedha kwa wajane waonywa

MWENYEKITI wa halmashauri ya mji wa Masasi ambaye pia ni Diwani wa kata ya Nyasa, Andrew Mtumusha ametoa onyo kwa watendaji wa kata, mtaa wenye tabia ya kudai malipo kutoka kwa vikundi vya wajasiriamali wajane pale vikundi hivyo vinapohitaji huduma ikiwemo ya kupitishiwa mihtasari yao ya benki.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Viongozi waonywa kuwatumia wananchi kwa masilahi yao

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amewataka viongozi kutowalazimisha wananchi kufanya mambo kwa masilahi yao.

 

5 years ago

Michuzi

SIKU YA WAJANE DUNIANI, ZAIDI YA WAJANE MILIONI 250 WANAISHI KATIKA DIMBWI LA UMASIKINI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wajane katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, Aprili nne, 2019.
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVKUPOTEZA wenza ni jambo linalovunja mioyo ya wanawake wengi duniani hasa kwa nchi zinazoendelea, wajane katika nchi hizo wamekuwa na muendelezo wa kutafuta mahitaji yao muhimu, haki zao pamoja na utu ambapo katika baadhi ya tamaduni nyingi za kiafrika huwachukulia wajane kwa namna ya tofauti ikiwemo kurithiwa na ndugu wa mume na...

 

9 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini waonywa

VIONGOZI wa dini wametakiwa kutoegemea upande wowote wa vyama vya siasa ili kuepusha mpasuko unaoweza kutokea, huku wanasiasa wakiaswa kukubaliana na matokeo kwa kuwa ndiyo mwisho wa ubishi.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania waonywa urais wa fedha, udini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amewataka Watanzania kuwapuuza wanasiasa wenye kutaka kutumia fedha, dini, ukabila na aina yoyote ya ubaguzi kujijengea uhalali na kuombea kura katika uchaguzi mkuu ujao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wa kisiasa waonywa kuitumia TAHLISO

MWENYEKITI mstaafu wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taaluma za Juu Tanzania (TAHLISO), Amon Chakushemeire, amesema jumuiya hiyo inaendeshwa kitaaluma na si kisiasa. Chakushemeire aliyasema hayo juzi jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chuki:Viongozi waonywa Afrika Kusini

Waziri wa masuala ya ndani nchini Afrika kusini ametoa wito kwa viongozi kukoma kutoa matamshi yanayoweza kusababisha maafa.

 

11 years ago

Habarileo

Wajane wadhulumiwa kwa kuogopa kulogwa

WANAWAKE wajane wanaodhulumiwa mali baada ya kufiwa na waume zao wilayani Kyela, wamedaiwa kutofuata hatua za kisheria kwa kuogopa kurogwa na kudhalilisha ukoo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Ubadhirifu wa fedha na rasilimali wapungua vijijini kwa viongozi kuhofia kuchukuliwa hatua na wakazi wa maeneo hayo

warag

Waraghbishi toka vijiji vya Iponya, Nyakasumula, Bukandwe na Shenda wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti na mtendaji wa kijiji cha Shenda.

Ni miaka mitatu na miezi nane toka mraghbishi Fedson Yaida na wenzake toka vijiji vya jirani kukutana na Chukua Hatua. Ni rafiki waliyekutana naye mwaka 2011 katika mazungumzo maalumu ambayo walitakiwa kuyafikisha kwa wananchi wenzao wa vijiji vya Shenda, Iponya, Nyakasumula na Bukandwe katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita. 

Ni katika mazungumzo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani