Viongozi wa kisiasa waonywa kuitumia TAHLISO
MWENYEKITI mstaafu wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taaluma za Juu Tanzania (TAHLISO), Amon Chakushemeire, amesema jumuiya hiyo inaendeshwa kitaaluma na si kisiasa. Chakushemeire aliyasema hayo juzi jijini Dar es Salaam...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Dec
Tahliso yakerwa kuingiliwa kisiasa
UONGOZI mpya wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu (Tahliso), umekerwa na mgogoro uliopo katika taasisi hiyo ambao umesababishwa na uongozi uliopita kuingiza itikadi za kisiasa ndani ya umoja huo.
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
TAHLISO yapata viongozi wapya
JUMUIA ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), imepata uongozi mpya. Katika uchaguzi huo Musa Mudede, Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Bugando cha...
9 years ago
MichuziVIONGOZI WAPYA WA TAHLISO WAAPISHWA RASMI,WAUNGANA NA KASI YA MAGUFULI
Na Exaud Mtei (msaka habari) wa Habari24 blog
Uongozi mpya wa shirikisho la elimu ya vyuo vikuu nchini Tanzania TAHLISO umesema kuwa upo tayari kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dr John pombe magufuli kwa kasi aliyoanza...
9 years ago
Habarileo11 Oct
Viongozi wa dini waonywa
VIONGOZI wa dini wametakiwa kutoegemea upande wowote wa vyama vya siasa ili kuepusha mpasuko unaoweza kutokea, huku wanasiasa wakiaswa kukubaliana na matokeo kwa kuwa ndiyo mwisho wa ubishi.
10 years ago
BBCSwahili10 Apr
Chuki:Viongozi waonywa Afrika Kusini
10 years ago
Habarileo18 Jan
Viongozi wanaodai fedha kwa wajane waonywa
MWENYEKITI wa halmashauri ya mji wa Masasi ambaye pia ni Diwani wa kata ya Nyasa, Andrew Mtumusha ametoa onyo kwa watendaji wa kata, mtaa wenye tabia ya kudai malipo kutoka kwa vikundi vya wajasiriamali wajane pale vikundi hivyo vinapohitaji huduma ikiwemo ya kupitishiwa mihtasari yao ya benki.
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Viongozi waonywa kuwatumia wananchi kwa masilahi yao
10 years ago
Habarileo20 Jan
'Viongozi wa dini tusitumike kisiasa'
BAADHI ya viongozi wa dini nchini wametakiwa kutokubali kutumiwa na wanasiasa kama sehemu ya kampeni zao katika nyumba za ibada kwenye harakati zao za kutafuta uongozi.
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Jaji Lubuva awavaa viongozi wa kisiasa