Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WAPYA WA TAHLISO WAAPISHWA RASMI,WAUNGANA NA KASI YA MAGUFULI

Mwenyikiti mpya wa shirikisho la wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania TAHLISO Ndugu STANSLAUS PETER akila kiapo kulitumikia shirikisho hilo mbele ya mwanasheria HAMZA JABIRI leo Jijini Dar es salaam kuanza kazi rasmi ya kuwatumikia wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania 
Na Exaud Mtei (msaka habari) wa Habari24 blog
Uongozi mpya wa shirikisho la elimu ya vyuo vikuu nchini Tanzania TAHLISO umesema kuwa upo tayari kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dr John pombe magufuli kwa kasi aliyoanza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TAHLISO yapata viongozi wapya

JUMUIA ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), imepata uongozi mpya. Katika uchaguzi huo Musa Mudede, Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Bugando cha...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

MAKAMISHNA WA POLISI WAPYA WAAPISHWA

Kamishna wa Polisi Elice Mapunda akila kiapo mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu baada ya kupandishwa cheo na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Naibu Kamishna wa Polisi kuwa Kamishna wa Polisi. Katikati ni Msemaji wa Jeshi hilo Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Advera Bulimba. Hafla hiyo fupi ilifanyinyika jana Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam. Kamishna wa Polisi Diwani Athumani akila kiapo mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest...

 

10 years ago

Michuzi

WABUNGE WAPYA WAAPISHWA LEO MJINI DODOMA

Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dkt. Grace Puja akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo Machi 27, 2015. Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo Machi 27, 2015.

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON: MH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA.

Tunapenda kuwatangazia kwamba siku ya Jumamosi tarehe 29 machi 2014, jumuiya yetu ya Watanzania Houston itafanya sherehe ya kusimika viongozi wapya wa jumuiya. Muda ni kuanzia saa mbili kamili jioni(8pm) katika anuani ifuatayo: Turquoise Center, 9301 West Bellfort Ave. Houston TX 77031.
Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa US na Mexico, Mh.Liberata Mulamula ndiye atakaekuwa mgeni rasmi wa tukio hili la kihistoria katika jumuiya yetu ya Houston. Wote mnakaribishwa ili tusherekee na tuweke...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wa kisiasa waonywa kuitumia TAHLISO

MWENYEKITI mstaafu wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taaluma za Juu Tanzania (TAHLISO), Amon Chakushemeire, amesema jumuiya hiyo inaendeshwa kitaaluma na si kisiasa. Chakushemeire aliyasema hayo juzi jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WAAPISHWA DAR

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mussa Natty, akiongea na wanahabari katika hotel ya Landmark Ubungo jijini Dar leo.…

 

9 years ago

Habarileo

Tahliso wamkubali Magufuli

SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (Tahliso) wamepongeza hatua ya Serikali ya Rais John Magufuli kuongeza idadi ya wanafunzi ambao wamepata mikopo ya elimu ya juu kutoka wanafunzi 34,128 mwaka jana hadi kufikia wanafunzi 53,032 mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

UKAWA waungana rasmi

VYAMA vinne vya upinzani nchini vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), jana vilitiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano, ikiwamo kusimamisha mgombea katika chaguzi zote, kuanzia wa serikali za mitaa mwaka huu na ule wa wabunge, madiwani na rais mwaka kesho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani