Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMISHNA WA POLISI WAPYA WAAPISHWA

Kamishna wa Polisi Elice Mapunda akila kiapo mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu baada ya kupandishwa cheo na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Naibu Kamishna wa Polisi kuwa Kamishna wa Polisi. Katikati ni Msemaji wa Jeshi hilo Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Advera Bulimba. Hafla hiyo fupi ilifanyinyika jana Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam. Kamishna wa Polisi Diwani Athumani akila kiapo mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

WABUNGE WAPYA WAAPISHWA LEO MJINI DODOMA

Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dkt. Grace Puja akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo Machi 27, 2015. Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo Machi 27, 2015.

 

9 years ago

Michuzi

VIONGOZI WAPYA WA TAHLISO WAAPISHWA RASMI,WAUNGANA NA KASI YA MAGUFULI

Mwenyikiti mpya wa shirikisho la wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania TAHLISO Ndugu STANSLAUS PETER akila kiapo kulitumikia shirikisho hilo mbele ya mwanasheria HAMZA JABIRI leo Jijini Dar es salaam kuanza kazi rasmi ya kuwatumikia wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania 
Na Exaud Mtei (msaka habari) wa Habari24 blog
Uongozi mpya wa shirikisho la elimu ya vyuo vikuu nchini Tanzania TAHLISO umesema kuwa upo tayari kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dr John pombe magufuli kwa kasi aliyoanza...

 

10 years ago

Michuzi

Makamishna wa Jeshi la Polisi waifagilia NMB Wakala

Makamishna wa Jeshi la Polisi wanaohudhuria mkutano wa mwaka wa maofisa waandamizi wa jeshi la polisi mjini Dodoma wamefurahishwa na matumizi ya teknolojia katika utoaji wa huduma za kifedha.
Makamishna wengi waliofika kwenye banda maalumu la NMB lililopo nje ya ukumbi wa mikutano wa St.Gasper mjini Dodoma ambapo kikao cha mwaka cha maafisa wa polisi kinaendelea, walifurahishwa na uharaka wa kutoa na kuweka fedha kupitia NMB wakala ambapo kupitia teknolojia ya Max Malipo, mteja anaweza kutoa...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yanasa 40 wapya kwa kashfa ya makontena

Moto aliouwasha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Bandari ya Dar es Salaam na kubaini upotevu mkubwa wa makontena na kuikosesha Serikali mapato umeendelea baada ya maofisa 40 wa mamlaka mbalimbali za umma kukamatwa na kurejeshwa kwa Sh10 bilioni zilizopotea kwa ukwepaji kodi.     

 

11 years ago

Michuzi

JK ATEUA MAKAMISHNA WA UHAMIAJI

Kikwete Ateua Makamishna Wa Uhamiaji

 

9 years ago

BBCSwahili

Makamishna wapinga kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar

Baadhi ya makamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wasema hawakushirikishwa katika uamuzi wa mwenyekiti wa tume hiyo Salim Jecha wa kufutilia mbali uchaguzi.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA 27,WAPYA WAKIWEMO SHABANI KISU,PAUL MAKONDA,FREDRICK MWAKALEBELA


*Atengua uteuzi wa Ma-DC 12, awabadilisha vituo 64, awabakiza 42 kwenye vituo vyao vya zamani.
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa kuwateua Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42 amewabakisha kwenye vituo vyao vya kazi vya zamani.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa OWM TAMISEMI leo mchana (Jumatano, Februari 18, 2015) Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema mabadiliko hayo yamesababishwa na kuwepo kwa nafasi wazi 27 ambazo zilitokana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani