Makamishna wapinga kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar
Baadhi ya makamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wasema hawakushirikishwa katika uamuzi wa mwenyekiti wa tume hiyo Salim Jecha wa kufutilia mbali uchaguzi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Sababu 8 za kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
Taarifa ya ZADIA kuhusu kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi Zanzibar
9 years ago
MichuziZADIA YAZUNGUMZIA HALI YA KUFUTWA KWA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR
Ama kwa hakika kitendo hicho hakikuwa cha busara na...
9 years ago
StarTV10 Nov
Wajumbe wateule waendelea kupinga kufutwa kwa matokeo Uchaguzi  Zanzibar
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Wateule Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) wamesema hawapo tayari kurudia Uchaguzi Mkuu kwa madai ya kuwa uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 siyo batili.
Huku wakiitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kutengua tamko la kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi na badala yake kutangaza matokeo ya Majimbo yote yaliyofanyika uchaguzi huo.
Abubakari Khamis Bakari ametoa tamko hilo ambalo ni azimio la wawakilishi wateule 27 kupitia chama hicho Zanzibar na kusema kuwa...
9 years ago
MichuziWAJUMBE WA BARAZA LA WAKILISHI WA CUF ZANZIBAR WAMEPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR KUFUTWA
Wajumbe 27 wa baraza hilo wamewasili jijini Dar es Salaam kuzungumza na waandishi wa habari juu ya kizungumkuti cha matokeo ya uchaguzi kufutwa huku wakiwa wenyewe hatambui hatua hiyo.
Akizungumza mmoja wa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi,...
9 years ago
Mwananchi30 Oct
Umoja wa Ulaya wasikitishwa uchaguzi kufutwa Zanzibar
9 years ago
StarTV24 Nov
Kufutwa Uchaguzi Zanzibar Waliohusika watakiwa kuchukuliwa hatua
Shirikisho la vyuo vikuu Zanzibar limeomba kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi ya mtu yeyote aliyehusika na kusababisha kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar bila kujali cheo ama wadhifa wake.
Akisoma taarifa ya wasomi hao wanaounga mkono ccm mbele ya wanahabari visiwani Zanzibar Makamu mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vya elimu ya juu wanaunga mkono CCM Zanzibar Hamid Saleh Muhina anasema maeneo mengi ya hujuma katika uchaguzi huo yamebainika ila tuma na baadhi ya makamishna kukaa kimya...
9 years ago
StarTV30 Oct
Kufutwa matokeo ya uchaguzi zanzibar  Vyama vya siasa vyapinga
Baadhi ya vyama vya siasa vilivyoshiriki uchaguzi mkuu wa Zanzibar vimeeleza kutokubaliana na kauli ya mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ZEC Jecha Salim Jecha ya kufuta uchaguzi mkuu ulioelezwa kujaa mizengwe na kukiuka taratibu.
Wanadai kuwa tangazo hilo linawatia mashaka wakimtaka mwenyekiti wa Tume achambue vipengele vitakavyothibitisha kasoro zilizosababisha kufutwa kwa sheria hiyo.
Akizungumza wakati wa mkutano na wanahabari malindi visiwani Zanzibar Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi...
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Wanasheria wapinga kufutwa kesi Z’bar